cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hayo masaa saba ndio yanageuka kuwa laki nne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo hayo masaa saba ndio yanageuka kuwa laki nne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hata gari huna, na unajifanya umepaki eti.Mi mwenyewe niliwahi kupiga hesabu nikagundua Kuhudumia gari ni kama unahudumia familia ya mke na watoto 3 sahivi nime switch natumia pikipiki mafuta ya 10k napata lita 3 na kidogo nazunguka nayo kichizi, hata gharama ya kumlipa bodaboda ni kubwa sana nikilinganisha na mizunguko yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawaelewekiHawa ndio wajf wanabadilika km vinyonga mara ni matajiri ghfla tu wote wanatumia bodaboda
Sasa kama ni hivo basi haina haja ya kulalama kua anatumia gharama kubwa wakati altenative zipo kibao ila tu ni kupenda luxury life.Kila mtu anatumia ambacho anakimudu. Daladala zinatesa asikuambie mtu. Mnabanana kama mahindi halafu kupatikana shida sana asubuhi.
Nilijaribu mara mojamoja kutumia daladala nikaona loh kwanini nijitese na maisha yenyewe haya.
Mbona nilishasema mi ndo mwana jf nisie na gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute hata gari huna, na unajifanya umepaki eti.
Ila JF lol
Mkuu mbona hata kwa kipato cha 5milion kwa mwaka unaweza kumiliki na kumudu gari vizuri kabisa.Kuna tatizo kubwa la watanzania wengi kutokubaliana na ukweli wa hali zao. Mtu anajikamua na kununua gari bila kujali kuwa gari linahitaji pesa liweze kutumika. Kama una kipato cha chini ya 26m kwa mwaka achana na mambo ya gari. Sio level yako.
Mbona ulichelewa mkuu kufanya hayo maamuzi mazuri na ya maana kabisa.Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Hio ina uwezo hadi wakulima shamba ,ina majembe yake special.Wacha weeee unaijua bei yake au unqongea tu hii chuma ukiagiza japani ya bei ndogo ni 4mil ngoma inakwenda hadi 20mil
Niliwahi kuwaambia jamaa zangu juu ya issue kama hii, wakanijibu lazima mtu ulinde hadhi yako hata kama hali ni tete namna ganiSasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.
Mkuu uko sahihi kabisa. Mimi pia miaka kadhaa nyuma nililazimika kununua gari kwa ajili ya biashara yangu na lile gari nililiendesha kama mara 3 tu mwaka mzima. Mwanangu mmoja ndo alikuwa nalo kila siku kwenye mishe za kazi. Mimi ndo maana nilitangulia kusema watu wawe wanajiambia ukweli kuhusu wao badala ya kujidanganya.Mkuu mbona hata kwa kipato cha 5milion kwa mwaka unaweza kumiliki na kumudu gari vizuri kabisa.
Ishu ni aina gani ya gari.
Unaweza kupata Toyota Vitz, Plat, IST au suzuki Swift, Camy na wadogo zao.
Tatizo watu wanashindwa kujua au kujibu swali la kwanini unanunua gari?, ili ulitumie wapi na je kumiliki gari kwako ni mahitaji au uhitaji?.
Mfano mimi gari ni mahitaji ya lazima kabisa sawa na viatu au mavazi, ila nilitafuta gari inayokaa kwenye kutimiza hayo mahitaji tu sikutafuta mbwembwe za kuvimba njiani huku nakamua mfuko na kweli linanisaidia sana
Kuna nn kwani mkuu?Niache nini
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawaeleweki
Hao wanaolalama mfuko ndio tatizo. Wenye nazo wanasukumq mi v8 na wanaona powa. Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.Sasa kama ni hivo basi haina haja ya kulalama kua anatumia gharama kubwa wakati altenative zipo kibao ila tu ni kupenda luxury life.
Sioni ubaya wa daladala ila kwa wasiofata muda, na watu wanene daladala kwao ni tatizo.
Gari ni muhimu pia,ila inategemea kipato.Kila nikiwaza kununua gari huwa sioni sababu ya msingi kabisa ya kulimiliki.
Mimi gari ni ya muhimu sana, inanisaidia kufika ofisini kwa haraka na kufanya kazi kwa ufanisi. Daladala zina karaha sana, mara asubuhi hawaonekani, wanakatisha ruti, mnajazwa kama magunia.Mkuu mbona hata kwa kipato cha 5milion kwa mwaka unaweza kumiliki na kumudu gari vizuri kabisa.
Ishu ni aina gani ya gari.
Unaweza kupata Toyota Vitz, Plat, IST au suzuki Swift, Camy na wadogo zao.
Tatizo watu wanashindwa kujua au kujibu swali la kwanini unanunua gari?, ili ulitumie wapi na je kumiliki gari kwako ni mahitaji au uhitaji?.
Mfano mimi gari ni mahitaji ya lazima kabisa sawa na viatu au mavazi, ila nilitafuta gari inayokaa kwenye kutimiza hayo mahitaji tu sikutafuta mbwembwe za kuvimba njiani huku nakamua mfuko na kweli linanisaidia sana
okMIMI NILIPAKI MKWECHE WANGU KITAMBO TU NIKACHUKUA PIKIPIKI USED.
NIKITIA FULL TANK NAPIGA MISELE MPAKA NASAHAU MZEE TOFAUTI NA ULE MKWECHE ULIKUA UNANITIA HASARA.
Hizo k k ndo pesa ya nchi gani?Kutokana na vyuma kukaza, ikanilzaimu kupiga hesabu zangu vzuri. Ninapokaa mpaka ofisini ni takribani km 10, nikienda na kurudi naweza tumia wastani wa lita nne hadi tano kutokana na hizi foleni.
Lita nne ni almost 12k to 15k. Nikitumia usafiri wa public kama bajaji natumia wastani wa 1500 kwenda na 1500 kurudi yaani 3k nenda rudi.
Sasa why nitumie 15k+ wakati naweza tumia 3k na nikafanikisha jambo langu? Nimeamua kupaki gari labda kama mafuta yatashuka bei kidogo.