Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

ni bahati sana kupata usafiri wa mojakwa moja namna hiyo maeneo hayo ni aidha ugeueke na kidala au upande gari za ruti nyingine zikusogeze na kwahivyo ukitoka home na elfu10 huwezi rudi home hata na senti moja bali utarudi tu na njaaa kali sana na kiu ya haja πŸ’

kama kwa mahesabu yako nauli ni elfu sita, hujala wala kunywa gharama za jumla kwa siku na mwenye IST mtatofautiana mi2aumia3πŸ’
 
Kwa gari izi za lita 1 kwa kilometa 10/12 izo lita 4 zinatoka wap

Lakin pia gar ina msaada zaidi na haina usumbufu km uwo usafir wa public

Kupanga ni kuchagua
 
Sio Prof Mahugija kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana nae alisema hiki kitu class.
 
Shida ya Public transport sio bei peke yake ni na upatikanaji wake pia usumbufu wa kubanana na kupangwa kama mizigo plus joto kali kwny foleni.
Ukitoka umepiga perfume yote inaisha kwny daladala.
Ingekuwa haina huo usumbufu wengi wasinge komaa na bei ya mafuta.
 
kama kwa mahesabu yako nauli ni elfu sita, hujala wala kunywa gharama za jumla kwa siku na mwenye IST mtatofautiana mi2aumia3πŸ’
Mambo ya kula na kunywa yametoka wapi? Kwani alipoanzisha mada ya kulinganisha private na public transport, una maana akiwa na private transport alikuwa hali wala hanywi?
 
Mambo ya kula na kunywa yametoka wapi? Kwani alipoanzisha mada ya kulinganisha private na public transport, una maana akiwa na private transport alikuwa hali wala hanywi?
popote utokako mbagala, mpaka ukifika kituo cha mabasi mbagala rangi3 tayari elfu4 ishakuteketea, sembuse kwenda town πŸ˜€
 
Sawa ndugu, na kwa sababu ulizotoa Upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…