username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
Unajua upo jukwaa gani?Huko mtaani hawapo?
Kila la kheri!Mimi ni mwanaume umri miaka 33.
Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .
Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila.
Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila tulishindwana na nikamtaarifu kiamani Kila mmoja aangalie ustarabu wake.
Mdada aliye tayari aje inbox ila awe wa dar tu long distance relationship huwa siziwezi na nakuwa mvivu kwenye mawasiliano.
Mtaani ndio wapi kama sio hapa?Huko mtaani hawapo?
Kwa wenye akili hii wanazingatia sana na huweka msingi thabilti kwenye maisha ya WAWILI. Hamasa na utamu wa hii kitu kama kweli mna dhamira ya kufanya maisha pamoja ni kunyima na kutoiomba kabisa. Wanaume wanatakiwa kujua na kuzingatia kama kanuni "usimuoe aliyekubali kukuvulia chupi kabla hujamuoa" ili na wa kike nao wakaze hivyo hivyo!No sex till ndoa[emoji41]
Utaweza nije [emoji2970]
KivumboiiiiNo sex till ndoa[emoji41]
Utaweza nije [emoji2970]
No sex till ndoa[emoji41]
Utaweza nije [emoji2970]
Msikariri maishaMkuu kila la heri lakini Kuna sehemu nimesoma kwenye habari Leo wanasema wanawake wa dar hawafai kuoa Wala kuwa kwenye mahusiano wakilenga tabata na sinza sasa sijajua kama wasemayo yamo
Hayaa ss mm nurse ww Daktar tutazaa mgonjwaMimi ni mwanaume umri miaka 33.
Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .
Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila.
Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila tulishindwana na nikamtaarifu kiamani Kila mmoja aangalie ustarabu wake.
Mdada aliye tayari aje inbox ila awe wa dar tu long distance relationship huwa siziwezi na nakuwa mvivu kwenye mawasiliano.
Ulitaka atafute wapiMzee unatafuta mchumba jamiiforum
Mim binafs siwez kutafuta jamiiforum hapa kunamatapeli hakuna mausianoUlitaka atafute wapi
Naunga mkono hojaMim binafs siwez kutafuta jamiiforum hapa kunamatapeli hakuna mausiano
PMHayaa ss mm nurse ww Daktar tutazaa mgonjwa
Itakuwaje😂