Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

username required

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,069
Mimi ni mwanaume umri miaka 33.

Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .

Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila.

Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila tulishindwana na nikamtaarifu kiamani Kila mmoja aangalie ustarabu wake.

Mdada aliye tayari aje inbox ila awe wa dar tu long distance relationship huwa siziwezi na nakuwa mvivu kwenye mawasiliano.
 
Kila la kheri!
 
Mkuu kila la heri lakini Kuna sehemu nimesoma kwenye habari Leo wanasema wanawake wa dar hawafai kuoa Wala kuwa kwenye mahusiano wakilenga tabata na sinza sasa sijajua kama wasemayo yamo
 
No sex till ndoa[emoji41]

Utaweza nije [emoji2970]
Kwa wenye akili hii wanazingatia sana na huweka msingi thabilti kwenye maisha ya WAWILI. Hamasa na utamu wa hii kitu kama kweli mna dhamira ya kufanya maisha pamoja ni kunyima na kutoiomba kabisa. Wanaume wanatakiwa kujua na kuzingatia kama kanuni "usimuoe aliyekubali kukuvulia chupi kabla hujamuoa" ili na wa kike nao wakaze hivyo hivyo!
 
Mimi ni mwanaume umri miaka 33.

Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .

Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila.

Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila tulishindwana na nikamtaarifu kiamani Kila mmoja aangalie ustarabu wake.

Mdada aliye tayari aje inbox ila awe wa dar tu long distance relationship huwa siziwezi na nakuwa mvivu kwenye mawasiliano.
Hayaa ss mm nurse ww Daktar tutazaa mgonjwa
Itakuwaje😂
 
Back
Top Bottom