Nimeamua 'kusilimu' je, kisheria na kiimani nitaruhusiwa kuongeza wake nikihitaji?

Nimeamua 'kusilimu' je, kisheria na kiimani nitaruhusiwa kuongeza wake nikihitaji?

MAJIBU
2. ukishakuwa muislam mkeo akibaki na dini yake ya ukristo ndoa hiyo itakuwa imevunjika..hakuna ndoa ya muislam na mkristo inayokubalika na uislam...labda ujitenge na Mungu uende ukaoe bomani)
Je wajua Ahlul Kitab katika uislamu?
Soma hiyo
"Who are Ahle Kitab in Quran?
Ahle-kitab is Arabic word which refers to people of the book or people who were given previous scriptures by Almighty God. The general understanding about ahle- kitab is that it refers to Jews and Christians. So Muslims believe that a Muslim man can marry ANY jew or Christian lady."
Nimekupa hiyo elimu bure kabisa ila soma zaidi Quran na Hadith za Mtume SAW
 
Uwepo wao upo ndio maana wametajw katika kitabu tukufu ila kwa zama hizi sidhani, allah anajua zaidi, na kama watakuwepo watakuwepo kwa uchache mnoo, usikute ni mmoja katika watu milion 100... Kuwepo kwa madhehebu hakufanyia kukosekana kwa waislama wa ukweli, katika huko huko kugawanyika kuna wale waliothabiti.
Kitabu hakijakupa mamlaka ya yale unayoyadhania wewe kuwa ndiyo sahihi! Angali hapo nilipokazia -bold
 
MAJIBU YA MASWALI YAKO:
1. NDIYO, ebzi za Mtume Maswahaba walipokuwa wakisilimu na kuingia ktk Uislamu walikuwa hawafungi ndoa ispokuwa wake zao waliendelea kutambulika na shetia ya waislamu jama wake halali HATA KAMA wake hao bado wapo na iman zao za awali.

2. INAJUZU kwako kuongeza wake wengne kwan tayar wewe ni muislamu unayetakiwa kutii maarisho ya Allah na Sunnah za Mtume wake. Haijaalishi mke wakwanza kabadili au laa

3. Hakuna kufunga ndoa upya ikiwa ndoa utafungwa kwa njia mbili zifuatazo:
~Mume na mke wakat wanafunga ndoa yao wote walikuwa bado si waislamu, hivyo baada ya kusilimu kwao wataendelea na ndoa yao na itakuwa ni ndoa halali tu.
~Mwanamme wa kiislamu kumuoa mkristo au myahud, kieha mwanamke huyo aje abadili dini yake. Hapo haitafungwa ndoa upya ile ile ya awali utagesabuka kuwa ni halali.

YANAYOATILISHA NDOA NI:
1. Mwanamke au mwanamme kuritadi (taan kutoka ktk dini ya kiislamu). Mwanamke au mwanamme aliyeritadi ni kafir. Naposema ukafir upo wa namja mbili:
~ukafir wa moja kwa moja, yaan mtu alizaliwa ktk dini isiyokuwa ya kiislamu jama mkristo, myahudi, uhindi n.k
~ukafir kisheria, huu ni ule ambao mtu aliingia ktk uislamu na akaitambua haki kisa baada ya hapo akabadili dini yake kutoka ktk uislamu. Na huu ndo ukafir mbaya zaid kuliko ule wa moja kwa moja au wakuzaliwa.

2. Mwanamme na mwanamke walifunga ndoa wakiwa wakristo kisha baada ya hapo mwanamke akabadili dini yake na kuwa muislamu, NDOA YAO SI HALALI TENA, mwanamke wa kiislamu si halali kwa mwanamme ambaye si muislamu. Tazama Quran 60:10.

3. Ndoa baina ya muuskamu kwa muislamu lakin mume lakin mume au mke akawa haswali kabisa. Tarku swala (yan asiyeswali) huyo ni KAFIRI, ukafuri wake unaingia lile la kundi lapili nililotaja. Asiyefunga Ramadhan pia huyo ni kafir, haijuzu kwao kuoa mwanamke mchamungu wa kiislamu
Deep sana. Kula LIKE mkuu.
 
Kwa sheria za Tanzania mke wako anabaki kuwa mke wako hata kama ungebadili dini kwenda dini ya kishetani kama mlifunga ndoa na mkapewa kile cheti cha ndoa chenye nembo ya bibi na bwana ambacho ndicho cheti inayotambulika kisheria. kama ilifungwa kanisani nanabaki kuwa mke wako vile vile maana ndoa za kaninsani hadi kifo kiwatenganishe.

Wewe kama unabadili dini kwa sababu ya kutaka kuongeza mke hiyo dini kiimani pia haina msaada kwa maisha yako ya rohoni maana huendi huko kwa ajili ya kuimwabudu Mungu wako bali kuhalalisha tamaa yako ya kimwili.
umeanza vizuri sana, lakini umeharibu mwishoni kwa kuchanganya sheria na imani. Haijalishi ameoa kwa sbb gani(iwe kumuasi Mungu, kumuabudu Mungu au kutimiza tamaa zake za mwili). muhimu ni sheria inataka nini. Msingi wa kuoa Tanzania ni mwk& mwanaume, umri unaoruhusiwa, akili timamu. Na muhimu zaidi ni RIDHAA.
 
Back
Top Bottom