Nimeamua 'kusilimu' je, kisheria na kiimani nitaruhusiwa kuongeza wake nikihitaji?

MAJIBU
2. ukishakuwa muislam mkeo akibaki na dini yake ya ukristo ndoa hiyo itakuwa imevunjika..hakuna ndoa ya muislam na mkristo inayokubalika na uislam...labda ujitenge na Mungu uende ukaoe bomani)
Je wajua Ahlul Kitab katika uislamu?
Soma hiyo
"Who are Ahle Kitab in Quran?
Ahle-kitab is Arabic word which refers to people of the book or people who were given previous scriptures by Almighty God. The general understanding about ahle- kitab is that it refers to Jews and Christians. So Muslims believe that a Muslim man can marry ANY jew or Christian lady."
Nimekupa hiyo elimu bure kabisa ila soma zaidi Quran na Hadith za Mtume SAW
 
Kitabu hakijakupa mamlaka ya yale unayoyadhania wewe kuwa ndiyo sahihi! Angali hapo nilipokazia -bold
 
Deep sana. Kula LIKE mkuu.
 
umeanza vizuri sana, lakini umeharibu mwishoni kwa kuchanganya sheria na imani. Haijalishi ameoa kwa sbb gani(iwe kumuasi Mungu, kumuabudu Mungu au kutimiza tamaa zake za mwili). muhimu ni sheria inataka nini. Msingi wa kuoa Tanzania ni mwk& mwanaume, umri unaoruhusiwa, akili timamu. Na muhimu zaidi ni RIDHAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…