Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Nakutakia kila la heri ktk maisha uliyoyachagua. Ila unapaswa kutambua ile dhana yako ya kwamba CCM itatawala milele nchi hii si kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikwambia kwenye uzi wako jana kila Mtu ana ndoto,kongole kwako.
Japo ni fools day,naheshimu maamuzi yako.

Japo uko ulipoamua kwenda chama cha mbogamboga kilishapoteza Dira ,chama kinachotegemea nguvu za dola kushinda chaguzi hicho hakifai .
 
Ukisoma hii habari na jinsi watu wanavyotafsiri ndo unaunga mkono Prof Baregu kuwa zamani walikuwa wanatoa ujinga kwa wazee ila sasa wanatoa ujinga kwa vijana. Yani andiko la Pasco lipo wazi ila so sarcastic ila watu uelewa wao sasa daaaah. Safi sana kaka Pasco Manjaa.
 
Ubonge wa jimbo au kama wa jalalani?
Happy day Paskali.....wahi saa nne ndo hii....ikipita utarudi mavumbini.
 

Is fools’ day real ?
 
Nasubiri jioni nijue hili bandiko ni LA kweli kabisa njaa ndo zimekupeleka CCM kama ambavyo umesema au ni kwa sababu April fool leo
 
KEY IDEAS EXTRACTED FROM THE APRIL 1st FOOL'S HALF DAY :

Your message is clear on this quote "Wasukuma wa aina nyingi nyingi wengine ni wakuja tuu hivyo hata maana ya jina la Mayalla linabadilika badilika kutegemeana na Msukuma wa wapi. Toka siku ile nilipouliza lile swali Ikulu nikajibiwa kuwa Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa, kiukweli kauli nyingine huumba, tangu nilipoitwa Njaa, kauli ile ikaniumbia njaa ya ukweli, hadi jina langu humu na mitaani ninaitwa Pasco Manjaa!. Baada tuu ya swali lile, contracts zangu zote za kampuni yangu ya PPR za serikalini zilisitishwa hivyo njaa ikaanza kunitembelea, tenda za maonyesho ya Saba Saba zikafutwa, tenda za kuandaa kipindi vya elimu kwa umma zikafutwa, ile ofisi yangu jengo la NHC pale Mtaa Mkepu niliokuwa nalipia pango sawa mshahara wa DC nikafunga, nilikuwa na wafanyakazi 20, nikawapunguza 15, tukabaki 5 na kuhamia kwenye kaji chumba jengo la Posta House. Kwa kwa vile mimi ni mwandishi wa habari, baada ya kufungiwa huko kote nikaamua kurejea newsroom kuandika makala za magazeti nako ndio vile tena nikaitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge. Kila ninachogusa hakiendi".



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tutakuita tena unasema rais kakutamkia njaa ikakupata!! Unasema chama lina hati miliki kutawala milele hiyo ni uchochezi,uhujumu uchumi na utakatishaji fedha... Una nyumba ya mil 900 unalipaga ngapi kama kodi ya makazi??
Utajuta na hatutojali utani wa fool april!! Andaa pesa za mawakili pasco majanga.
Nenda kituo chochote cha polisi karibu yako wambie kirengased amekuagiza
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…