Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Update
Saa 10:00 ndio hii, bado sijafanikiwa kumpata Polepole ili kujiunga CCM, hivyo mpaka sasa bado sijastaafu, na jf bado sija acha, naendelea kumfuatilia Polepole kujiunga CCM, siku nikifanikiwa ndipo nitastaafu na nitaaga rasmi kwa ku update uzi huu.

Kwa wale mlionitakia maisha mema ndani ya CCM, asanteni.
Wana CCM mlionikaribisha CCM, asanteni nitakaribia muda utakapowadia.
Kwa wale mliodhania hii ni sikukuu ya leo, poleni, this is for real.
Nawatakia siku njema.
Paskali
 
Kwa hyo mkuu Pascal hiyo subaru nayo inasubiri mpaka uende ccm au ipo sokoni bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu kwa kuona mbali ulimpa challenge kubwa rais magufuli ila najua ilikua kwa nia njema tuu binafsi sio mwanasiasa ila ni shabiki Mkubwa wa magufuli tangu akiwa Wazir namkubali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri mkuu.
 
Ghashi Tulikoiwa na luhunga!!!
 
Lilikua swala la muda tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112][emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa mbaya sana kwa hiyo umehamua kwenda huko bz wamekunyoosha? Ila kweli huwezi pambana na hawa wadudu wakihamua kukubana mbavu huwezi furukuta. Wengi wameenda huko kwa hiyo sababu alienda mwenye nywele za unga sembuse wewe.
 
April 1st au?
 




Karibu, Nyumbani kumenoga. Tulitegemea ungerudi nyumbani mapema, I lakini hakijaharibika kitu. Toleho...
 
Kuanzia sababu ya 5

Ukinyimwa kadi, mchawi ni wewe mwenyewe

Haya nipe like sasa [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…