Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Umeamua kujiunga rasmi chama cha kinyonyaji.

Angalia ile series ya TYRANT ili upate kuona mwisho wa ccm utakuwaje
 

Ndugu Mheshimiwa sana Paskali Mayala(ngoja nianze kukupa heshima za kichama kabisaaaa!)

Tontorillo ulizopiga hapa mtandaoni ni kuntu na nilijua zina muelekeo wake, katika siasa.
Mkuu unless huna shughuli nyingine za kukupa kipato halali, nakupongeza kwa dhati wa kujaribu bahati yako kwenye siasa hizi za madongo na fitna.

Ushauri wangu kwako Paskali ni huu.
Ujue unaingia kwenye siasa za caucus na sio kama yalivyo mawazo yako independent kama ilivyo hapa mtandaoni.
Kwenye sisa utatumia akili ya wengi, ili kuunga mkono zaimio au kiongozi mwenye nguvu.

You will not go it alone, thats suicidal!

Ukitaka kufika mbali kuna silaha kubwa ya kisiasa binafsi kule kwenye chama , inaitwa FITNA.
Hii ni silaha kali sana.
Kwa mfano Paskali unataka uwaziri, jenga fitna ya kutosha na uungwaji mkono kumwondoa aliye katika kiti unachokitaka.
Fitna utakayoijenga iwe na ukweli kidogo na chumvi ya kutosha ili ikubalike na ilete maana mbele ya watu na umma.

Hii silaha nilielezwa na rafiki yangu wa karibu aliyekuwa kwenye sehemu kubwa na nyeti serikalini.
Ukishampiga kisu mgongoni mbaya wako na unajua kaumia, usisahau kwenda kunjulia hali ukiwa na maua mkononi.

Ndio siasa ndugu yangu Paskali, ila utakuwa umepata ulichokitaka.

Wakati huo huo ukishapata usijejisahau , wapinzani wako binafsi watakaokuwa wanakuzungukia kama mbwa mwitu, wakitafuta nfasi nzuri vile vie kukutia kisu mgongoni kwa staili hiyo hiyo.
Kidumu chama cha mapinduzi!!!
 
Haaaaaaaaaaaa! hivi haukuwa mwanachama wa CCM kweli?

Kwa mimi nilijua na haiba yako ni mwanachama wa CCM.

I think you Just create News.

Kimsingi ni kama unacheza na mfuko wako huo huo unatoa pesa huku na kuweka kule.

hongera.

Umeji cheap price.
 
Naona Pascal Mayalla umewachota wengi kweli hii ni kupunguza panic kidogo kwenye issue ya corona. Ila umefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuyumbisha baadhi ya watu.

Ya kwamba utakuwepo tu kwa ajili ya like[emoji23]
Alafu unasema kabisa una staafu JF JF kuistaafu naamini mpaka mtu aondoke duniani au apate upofu wa macho. Wapo waliowahi kutangaza rasmi ila walishindwa kutekeleza walilo litamka. Kiranga.
 
Leo sikukuu ya wajinga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeitumiavizuri siku ya wajinga.
 
Mbona haya yote tuliyajua kitambo Mkuu!? Watakaoona hili ni geni basi walikuwa hawasomi vema mabandiko yako "msimu huu". Binafsi nakutakia kila la kheri katika kuisaka "fursa hiyo" kwa maana tulikotarajia siko tuendako ila tahadharini na mjiandae kwa upinzani rasmi toka kwa wananchi.
 
Kumbe ile kauli ya kwamba Mayalla maana yake ni njaa Jiwe alikuwa anatoa maagizo kwa malaika watia njaa wakutia njaa. Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia,ujumbe umetufikia na kumfikia Jiwe juu ya Jiwe kiongozi wa watia njaa.
 
Sasa kuwa mbunge na kuandika JF kuna uhusiano gani hadi useme unastaafu jf.
Ninasema kwa sababu wabunge huwa wanaandika humu
 

leo siku ya wajinga...hatudanganyiki....
 
Sijawahi kumuamini Pasco ktk maandiko yake lkn hili naliamini kwa sababu ndio andiko pekee lisilo na unafki.

Pasco ni mnafki sana na huko alikoenda panamfaa... maana amejibembeleza sana ili apate uteuzi ameona kimya ameanua aingie mzima mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…