Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

uandishi wa habari ni kama taakuma za udakitari au ualimu...kamwe hauwezi kuacha hivyo vitu...so hizi ni porojo to...ufanye kazi kwa miaka 30 halafu ghafla ndani ya siku moja ustaafu...uandishi wa habari unakufa nao....as long as ur still conscious and sound mind.....PM....acha kutulisha matango pori...na kwa tarehe ya leo ndio sikuelewi kabisa 1/4/20...fools day...am not among them...
 
Mkuu p.pamoja sana ila hujaeleza ni jimbo gani uko interested nalo ili tujue wapiga kura wako,all in all kila la kheri,na pongezi sana kwa kujiunga na chama kubwa CCM,lakini pia pale ulipo sema akina shonza polepole and the alike kuwa hawachangii humu jf si kweli,wamo humu ila kwa false identity na wanachangia sana tu

Mwisho ustukimbie karibu kwa mijadara hata kwa id mpya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tanzania ina watu na taaluma, ila wengi wao ni watu wa fursa tu, sina cha kukuhumu maana hakuna ubaya, ila wakati mwingine kukana sana na kujisafisha sana ndo kunakufanya watu wa ku judge!
 

Mzee unaakili mpaka kuna sehemu umeandika "Uamizi huu wa KIJINGA CCM nikaona kama bado ni point" mzee ukienda mbinguni hutadaiwa kutotumia akili yake ipasvyo kama akina sisi
 
Mayalla kwa kisukuma maana yake ni NJAA
 


Kumbe leo ni April 1? Ahsante sana Bw. Pascal Mayalla kwa kunikumbusha, ngoja nami niwatafute wajinga wangu.
 
Pascal Mayalla umeamua kuitumia siku ya wajinga au unamaanisha, yetu macho na kama kweli ni maamuzi yako ya kweli, Mungu akutangulie na akunyooshee njia ufanikiwe. Najua una uwezo binafsi mkubwa tu na ka kweli uningia kwenye siasa ni ombi utumie uwezo wako mkubwa kujenga. Wengi wameingia kwenye siasa na wakaishia kuwa watu wa hovyo sana kwa hiyo mimi binafsi kama ni kweli nakuombea ufanikishe huko tu.
 
All the best.
 
Paschal, ninakuheshimu sana, ila kwa hicho ulichoandika kwenye paragraph hii hapa chini I may withdraw part of respect I offer you. Au tayari lile zimwi kijani limeshaanza kukutafuna?

Hata hivo leo ni tarehe 1 April


Kufuatia kukubalika sana na kuaminika sana na Watanzania, CCM ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa uongozi na kuitawala Tanzania, hivyo unajiunga na most experienced party yenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu
 
April Fools Day at it best🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…