Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Boss Pascal Mayalla Happy Fools Day Kaka aka Bro & Leo siku ya Wajinga.
Haujanikamata mimi aisee.


 
sifa tu eti kuchukuwa kadi lumumba,wewe huna viongozi kwenye tawi lako unaloishi?kwenda lumumba sifa tu unataka makamera yakufotowe huna jipya.wauza sura wote mnaendaga huko
 
[emoji51][emoji51]
 
utakuja kukanusha eti ilikuwa sikukuu ya wajinga
 
Leo ni siku ya wajinga, lakini hakuna ujinga wowote ulioandika bali uhalisia.
1.Wewe ni CCM
2.Wewe ni homeboy wa Magufuli.
3.Wewe umekuwa ukijipendekeza kwa Magufuli ili upate uteuzi na hata hili la kugombea ukiamini Magufuli atakubeba liko rohoni mwako.
4.Wewe hadharani unataka uonekane neutral lakini maandiko yako yanakusuta kila mara.
5.Wewe kama ulivyosema njaa inakusumbua ingawaje njaa ya tumbo imekuathiri kichwani pia.
6.Binafsi nakuunga mkono kwani upande uliochagua ndio unaokustahili.
7.Safari njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

nobody on social media lampoons CCM misrule more poignantly than Pascal Mayalla
 
Pascalia Njaa
Mengi aliyoyasema ni kweli tupu
Shida kayaleta 01/04 Hapo tu ndio kalikoroga lakini utani utani mnajikuta mbunge! Mana Magu anasoma humu ameona aspirations zake komaa Mayala, Mayala Njaa iishe . Maana kama unauza kila kitu kisa ubunge meansd unaabudu RUSHWA!! PESA ZA MAKOROKOCHO YOOTE HAYO za nini kama si KUHONGA? TISS wameishakusoma kaa n=chonjo
 
Kila la heri ndugu yangu Paskali, unikumbuke na mimi pia. Ninafikiria pia nihamie kabila la Wasukuma ili niweze kupata cheo serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…