Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Happy wajinga DAY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Ni tarehe ngapi kwanza???
 
Hongera Pascal.
Ungeniuliza kabla ya maamuzi yako, ningekushauri uendelee na taaluma yako. Tusiifanye siasa kuwa taaluma mpya. Ubunge iwe ni kazi ya kisiasa lakini watu waendelee na taaluma zao. Ndo maana tunawaona wafanyabiashara wakiendelea na biashara zao pamoja na ubunge wao, wachungaji wanaendelea na makanisa yao pia.

Binafsi nitagombea na kazi yangu ni mkulima. Nitaendelea na ukulima wangu hata kama nitapata ubunge.
 
Wajinga oyeeee
 
Inashangaza kuona watu wanamshambulia Mayalla maana anaaga JF na anaamua tu kuonyesha vishoni na direksheni yake sijaona ubaya wowote.
Hawa watu wanaotokaga mbali huwa wanaendaga mbali.
Mayayalla sina cha kukushauli hatakama kukushauli ni too late kwani ushaliachilia dude ila more dan 95% your collect so kaza buti utafika.
Ntakutafuta nijifunzi zaidi.
 
Mkuu katika hii la uzoefu yuko sahihi. Namjua kidogo. Miaka hiyo ya 1990s alikuwa tayari ni mwandishi. Hapa hajasema uongo.
 
CCM kimefanya mengi makubwa, mazuri nchini mwetu tangu tumepata uhuru kwa kuongoza vita dhidi ya maadui umasikini, ujinga, maradhi, rushwa, uzembe, ufisadi, ukoloni mambo leo, unyonyaji, ukupe, ukabaila, ubepari, hadi vita hizi za kisiasa za ubeberu, utandawazi na kuongoza mapambano ya kiuchumi kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati kuelekea Tanzania kuwa donor country.

Hii sababu ungeiondoa kabisa maana ni uongo mchana kweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu CCM, CCM haina ubaguzi wowote wa kabila, dini, rangi, ukanda, jinsia, wote mnakaribishwa, CCM ni ya kila mwananchi ila sharti kuu, fuata maadili na katiba ya CCM, ikiwa pamoja na kupata kadi, uwe unalipia japo kidogo kidogo kusaidia Chama, chama ni watu, na michango inatoka kwa watu, hivyo ukifika Chamani, wakongwe wape heshima zao, utajifunza mengi toka kwao, na hata ukikosa ubunge usianze kukisema vibaya Chama Cha Mapinduzi, na ukipende kweli kweli toka moyoni.

Karibu sana kaka Paskali
 
Is this for real or April fools? 🤔
 
Nenda huko kamtumikie Shetani na usubiri malipo ya Karma na wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…