Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Hongera mkuu na tunakutakia safari njema kwenye siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tarehe 1 April
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu maisha ni Iman kama mimi ninavyo amini kuwa matatizo na shida zangu nilizonazo na mapito ninayopitia yote kuna siku yatakishwa na yatamalizwa na Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Regardless of Fools Day. Messages learnt from my end kwenye bandiko hili la Pasco:

*Utapata ubunge kupitia chama tajwa endapo umeandaa package kubwa ya Rushwa. Pesa yako itarudi yote and doubled. Siasa za bongo is business.

* Kwenye chaguzi zote tarajia chama tajwa kushinda coz ndiyo the 'Giant' kwenye kila angle na kinatumia 'mbinu' za ziada (rough player).

* Tanzania bado hakuna serious and strong political opposition party.

* Nepotism. The namba moja anatoa 'connection' kwa kuangalia 'u-home boy'.

* The media house is under surveillance. No oppositional views or criticism. Once you sound or appear being 'critic' with the umbrella of ''freedom of speech" or "journalism", you get 'fixed' in all your undertakings ili ufe njaa.

* Once you are 'fixed' and have no way out, just surrender and join Chama so as to clear the atmosphere!

What's up Pasco.

-Kaveli-
 
Miaka hiyo iliwezekana kabisa! Mwaka wa kuanza masomo imekuwa miaka 7 tangu 1970s. At 14 years unamaliza darasa la saba. Tatizo ilikuwa kuchaguliwa kuingia sekondari. Waliokwenda moja kwa moja, walimaliza Form 4 at 18. Ajira za RTD miaka ile ilikuwa direct employment.
 


All the best comandante P

 
Naamini wewe umeitumia siku ya wajinga kufikisha ujumbe akiyokufanyia home boy wako, masikini mpaka mikataba yako ikavunjwa du!!!!. Sio kwamba unaunga juhudu unaamua kuwa timu home boy baada kibinyo[emoji23]

Kila lakheri [emoji3][emoji3]
Tangu asubuhi naogopa kuchangia lolote maana nilikuwa naona kama hoja imenizidi nguvu na nakosa lakufanya.

Sasa wewe umenisaidia sana. Amaa kweli @pascalmayala ni fundi kwenye tasnia ya habar

Sent using Jamii Forums mobile app[/USER]
 
Siku ya wajinga duniani leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

HAWAKUPI KADI HATA UFANYE NINI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mkuu Pascal Mayalla hongera kwa maamuzi yako mujarabu. Mkuu Pascal Mayalla kama tutaachana kabisa na fikra kwamba leo ni siku ya wajinga na tukaamini kabisa kila ulichoandika, nadhani ingekuwa vyema zaidi kama utasema leo umepanga kuuweka wakfu kiupya uuwanachama wako wa "Chama chetu cha Mapinduzi" na sio kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

Nimeguswa sana jinsi ulivyopigwa "BAN" baada ya kuuliza swali fulani muhimu "Objective Question" pale "White House". Hata hivyo mkuu Pascal Mayalla naomba nikuulize hivyi ulishindwa kwenda kupiga magoti kwa "Mkuu Sana" kama walivyofanya wale waliorekodiwa wakimsema "Mkuu Sana". Mkuu Pascal Mayalla nadhani hujachukua hatua za makusudi kutafuta nafasi kumwomba "Mkuu Sana" msamaha.

Mkuu Pascal Mayalla napenda kukupongeza kwa nia ya kugombea Ubunge na napenda nikuhakikishie Jimbo la Moshi vijijini lipo wazi kwa ajili ya Mgombea toka "Chama chetu" cha Mapinduzi. Hata hivyo mkuu Pascal Mayalla naomba nikuulize utarejeshaje hiki kiasi kikubwa cha pesa unachotaka kukitumia? Hivi huko Bungeni kunagawiwa "Mapesa Mengi Mengi" kiasi cha mtu kuuza "Assets" zake kukimbilia huko??

Mkuu Pascal Mayalla naomba nitakapochukua Form ya kwenda "White House" baada ya "Mkuu Sana"" kuacha "Ukuu sana" uwe mpiga Zumari wangu. Ninakuhakikishia Mkuu Pascal Mayalla nitakapoukwa "Ukuu Sana" sitakupiga "BAN" ya kutembelea "White House" wala kufuatia njia zako halali za kukupatia mkate wa kila siku.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.


Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…