Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Kila la heri huko uendako. Humu usiache kuja kusoma tunavyokupongeza au kukukosoa utakapopata uongozi.
Karibu tena ukiukosa
 
All the best, japo leo ni April mosi na kwa muda ulioandika hii post ilikuwa na mashiko na hadi saa nne hukuwa umempata polepole so bado naami wewe ni njaa tu, na tutaendelea kukuona hapa na mayalla yako........tehtehteh
 
Bado sijampata Polepole, hivyo nimeishajiandikisha CCM ila kadi ndio bado sijakabidhiwa.
P
Akheri umekuja na sarakasi hiyo, maana hiyo hiyo ndiyo niliyotaka kukushikia bango nayo.

Ilitakiwa tukuone na 'Popole' pale kwenye ofisi zenu; hatua hiyo ikiwa ni moja kati ya njia za "Uenezaji"
 
Mwambie babaako agombee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…