Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Siku ya wajinga ila weledi/welevu tumepata message aisei..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi saikoloji yako ni ndogo sana ulichokiandika sawa na mtoto darasa LA nne LA zamani. Sasa sielewi kama umesomea vyuo vya kata kama vipo, au hujasoma kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikukuu ya wajinga mzee umewapata wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal Mayalla, nikuulize, Kwani kujiunga na chama cha siasa ni lazima uache taaluma yako uliyosomea? Maana umeunganisha mambo mawili kwa pamoja ni kama yana mahusiano.

2. Je umejihakikishia 100% kuwa utapata huo ubunge hata kutangaza kuacha mbachao wako wa miaka 30?

3. Kwani kuwa Mbunge, ni haramu kuwa member wa JF? Mbona wengine wapo humu?

4. Kwa hiyo huduma yako ya elimu kwa umma inakuwa haina tena maana kwa vile unautaka ubunge? Au baada ya ubunge?

5. Je huoni mchango wa JF ktk kukupa wewe jina? Au unaona kuendelea kuwa mdau wa JF itakukosesha ubunge?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeanza kuchanganyikiwa taratibu.
 
Heri uondoke msukuma baada ya kupigwa pin dom,umekua vuvuzela tu humu jf kusifia meko na ccm,huna jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…