Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Kuna wimbo umenijia tu kimoyomoyo unaitwa(umekwisha potea ,umekwisha potea wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chan'gaa)anadhani kundi lililoimba huu wimbo ni the mushroom ya Kenya

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Umenena vyema kabisa Bw. Pasco Manjaa Serikali hii ya Awami ya 5 ni Serikali yenye Uoga, haipendi kukukosolewa wala kushauriwa Chochote ukikinzana nao wanakufyekelea Mbali wanatamani Watu woooooote waungane nao , Pole sana Mama na Baba Tanzania!
 
Your not Serious at all,Kama Ni kweli basi kabla ya kupokelewa futa baadhi ya Logics zinazokufanya kujiunga CCM.
Thanks me later
 
Mkuu, kwa kuwa umeitupia hii saa kumi na mbili asubuhi mie binafsi naamini una dhamira hiyo. Utakapo fanikiwa nakuombea kheri na mafanikio mema ila ukiona pagumu karibu tena utatukuta.
 
Ujiunge ccm mara ngapi,wakati uko huko miaka yote ndugu.Siku ya wajinga ndio umdtapika ukweli wako wote unavyoipenda ccm.
 
Uende wewe akili zako ziache chumbani siku ukirejea utazikuta maana huko CCM peleka kichwa tu ubongo utaukuta huko.
POLE SANA
 
Pascal mayalla
Umejibi vzr bro! Basi, nikutakie kila la kheri huko uendako. Ila umenichekesha hapo kwenye kuuza nyumba upate m500 za kampeni. Ina maana ubunge unalipa kiasi hiko hadi kuhitaji kuinvest kiasi chote hiko? Je lengo tu kuhudumia wananchi kweli?
Hahaahahaahahaaaa Mayala bhnView attachment 1406412

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie Paschal naendelea kukushauri na kukusihi JF pitia kwa wingi, huwezi kupingwa na wote na huwezi kupendwa na wote! Usiogope huo ndio ukomavu. Rejea dhana ya ukweli.
 
Kama ni Kawe...Duh...!. Naona kama Kawe patakuwa hapatoshi!. Kama ni kupitia ACT, CUF or NCCR labda, lakini kama ni kupitia, Chadema, the Iron lady yupo, kama ni CCM, nafasi za kuteuliwa kugombea Kawe zimeisha jaa.

Kufuatia Kawe eneo kubwa ni High Class, wana CCM ndio wengi kajamb. Nani, hivyo ikaamuliwa yoyote anayetaka kuteuliwa na CCM, lazima aonyesha financial muscle ya kuichangia Kawe ili kuboresha maisha ya wale watu pale Ukwamani yafanane na wenzao wa Mbezi Beach, Mbweni, Tegeta na Bunju. Hivyo Trends za kura za maoni za CCM kwa Kawe hopefuls zitakuwa kama ifuatavyo
  1. Mo Dewji ndie ataongoza
  2. Zainudin Adamjee atakuwa wa pili
  3. Subhash Patel wa tatu
  4. Yogesh Maneck wa nne
  5. Yusuph Manji wa 5
  6. Rostam Aziz wa 6
  7. Martha Mlaki 7
  8. Harold Maruma 8
  9. Paul Makonda 9
  10. Kippi Warioba wa 10
  11. Jamaa fulani alwatan al maarufu anamsubiria Polepole ampe kadi ya CCM.
Sasa sijui wewe utakuwa wangapi, ila kwa humu unatumia pen names usiku uko kwenye hiyo list!.
P
 
Swali la kizushi

Lile swali ambalo jibu lake lilikuwa mhimili uliojichimbia zaidi ndio limekuletea njaa kiasi hiki?
Mkuu Mtama Mchungu, it's not a joke, hata kufanya zile Programs za SabaSaba nimezuiliwa!. Baada tuu ya lile swali, kilichofuatia, tusizungumze!.

Hivyo mkisikia najipanga kujiunga CCM kuunga mkono juhudi, naombeni mnielewe tuu.
P
 
Mkuu Mtama Mchungu, it's not a joke, hata kufanya zile Programs za SabaSaba nimezuiliwa!. Baada tuu ya lile swali, kilichofuatia, tusizungumze!.

Hivyo mkisikia najipanga kujiunga CCM kuunga mkono juhudi, naombeni mnielewe tuu.
P
Duh....

Mambo yanatisha zaidi ya tunavyodhani. How did that become controversial? Tuna safari ndefu sana kufika kanani. Pole na maswahibu yaliyokukuta. Ngoja niishie hapa.
 
Hahahahahaha.siona.bali.nisembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana Mkuu"jibu la swali lako 2" dona country kwa maana ya UGALI[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Take.
This is not fair mtu kutaka kujiunga CCM utatukanwa mjinga lakini ukijiunga upinzani ndio unapongezwa!.

Kama jf
Mkuu Kipenda roho , kiukweli kabisa maneno yako haya yanachoma!. Hebu tuambiane ukweli, kwa the political dynamics za siasa zetu, mtu unayetaka kuingia kwenye the game of politics, ni chama gani cha kujiunga nacho zaidi ya CCM?.
It's not fair chama chetu tawala kuita lichama, liCCM. Pia sio fair, wana CCM wote kuwaweka tenga moja na kuwaita madhalimu.

Yes ndani ya CCM kweli kuna baadhi ni madhalimu lakini pia kuna wema wengi tuu, hivyo kuwaita wote madhalimu, sio kuwatendea haki.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…