Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Pasco kaka kuwa mkweli kuwa uliingia ccm sababu ni rahisi kufikia malengo yako ...kuwa mbunge kuliko kupitia chama kingine.
Na ulishawishika zaidi awamu iliyopita kwani ilikuwa ukipenya kura za maoni tayari umekamilisha ndoto zako.
 
Mbona sahivi bado upo humu? pia hivi mkuu Paschal kwa miaka 30 ulishindwa kabisa kuwekeza ukaendelea kutengemea hisani za CCM? aibu kubwa sn kama una nyumba moja kwa miaka 30, ndiyo nyie kila siku mnasema vijana wajiajiri huku nyie mnajikomba kwenye teuzi na still mna mitaji tayari.
 
Kati ya watu...Wandishi nguli ninaiwakubali ni Pascal Mayalla..
Kama CCM watashindwa kumtumia huyu jamaa...Au Kama hawaoni karama yake...
Watakuja kujuta sana baadae...Ninaoosema CCM namaanisha serikali ya CCM.
Pascal Mayalla ni Hazina Kubwa mnoo...
Kwanza yuko humble hakasiriki ovyo,Amekomaa
Anajua nini cha kusema na wakati gani!
Kila mtu ana uhuru wa kuchagua kwenda apendapo,
Sasa Matusi ya nini?
Wewe ukienda Chauma sawa ndio umeona utfaidika vyovyote vile...Ni Kazi kama sehemu nyingine...Sio lazima Uende Chadema,TLP,Udp Act,
Kqahiyo hata akienda CCm sawa tuu... kwani amessma anataka kwenda kanisani au Msikitini?
Kumbuka kote huko sio Msikitinivau kanisani useme asipoenda atapata dhambi,Au Pote ni kwa maslahi,Upinzani ni maslahi kushika dola Ccm hivyo hivyo,Mtu anaangalia wapi atapenya ,
Hutaki nenda kanisani au msikitini,Wewe unaempinga Pascal Mayalla.
 
Paskali, usiitupe CCM ing'ang'anie CCM kwani ndicho chama pekee Afrika Mashariki ambacho kimewatajirisha viongozi wake bila ya kufanya biashara! CCM ina mabilionia ambao hawajawahi kuwa na leseni wala kulipa kodi ya biashara! Viongozi wa CCM ni matajiri huku wananchi ni masikini wakutupwa.
 
Mkuu Babati , kiukweli kabisa mimi ni Mjamaa halisi, katika utumishi wangu wote wa miaka 30, ndani ya tasnia ya habari, sijawahi kupata kipato cha kuniwezesha kujenga hata kibanda!, hiki kibanda, nilimo, ni cha wife, hivyo kwa kutegemea kipato cha uandishi tuu, kiukweli ni apeche alolo!.
P
 
Hatimae umefikia bei., rangi zako hazijawahi kubadilika
 
Niwewe uliestaafu JF au pacha wake?. kweli nimeamini MEKO hakukosea kukuita MAYALA maanayake unanjaa sana na njaa hiyo ndio itakyo kuvua pensi lako.
kweli we king'ang'anizye asseeeee!!!!
 

Mkuu elvischirwa salam kwako. CCM sio wote ni wachafu kama unavyoelezea.Hebu nikuulize Je una ujasiri wowote wa kuelekeza tuhuma zozote za ufisadi kwa Mwenyekiti wetu Mama samia Suluhu Hassani?

Ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.

Ahsante

Pascal Mayalla
 
Unapotoa mfano wa mafanikio waliyoyapata uliowaajiri kwenye kampuni yako si vizuri kutoa mfano kwa mtu ambaye ndiyo kwanza umemuajiri. She is on the drivers seat for less than a year, take time to know her.
 
Pasco kaka kuwa mkweli kuwa uliingia ccm sababu ni rahisi kufikia malengo yako ...kuwa mbunge kuliko kupitia chama kingine.
Na ulishawishika zaidi awamu iliyopita kwani ilikuwa ukipenya kura za maoni tayari umekamilisha ndoto zako.
Aliamini kwakua yeye ni 'NZAGAMBA'ngosha angembeba kwenye ubunge wa kawe.

Hata baada ya kukosa ubunge aliamini angalau ange ambulia udisiii hata wa kasuru ndanindaniii huko,nako katoka patupuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu uzi umeibuliwa😀

Kustaafu JF ilikuwa kweli au mkwara mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…