Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Pascal atueleze kwanza alijiunga lini CCM halafu tuendelee na mengine.
Mkuu Mjenda Chilo, karibu!.
Sasa tuendelee na wengine!.
P
 
Hahahahaaaaa, wewe na zuhura hamna tofauti. Unazeeka vizuri lkn kapige mahela huko mjengoni.
 

Hakuna mtu alifanikiwa mueleze paschal vizuri zaidi ya Magufuli...
 
Ulikua CCM muda mrefu. Usituchukulie poa. Tulijua uko huko kabla hata wewe hujajua
 
Donor!! sio ugalii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiviii ni sawa na mtu anayetaka kupewa tuuuu lakini yey hatoi
 
Tangia mwanzo tyuu mbona ulikuwa ccm
 
Poti unatafutwa huku...
 
Mkuu mdukuzi, jimbo la Kawe tulikuwa wagombea 176. Kati ya hao ni wagombea 50 tuu ndio waliopata kura. Wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!. Mimi nilibahatika kupata kura moko, hivyo nimewapita watu 126, ambao hawakupata hata kura moja!.
P

Hongera sana P.
Kwa hiyo idadi ya wagombea ilikuwa kubwa kuliko wapiga kura???
Ni ajabu, lkn inawezekana ikawa kweli pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…