Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Mkuu Pascal Mayalla hiyo sauti huwa inakudanganya sana, kumbuka ilikuambia utakua mbunge.
No sauti halikuwahi kuniambia nitakuwa mbunge. Ubunge ni mimi niliutaka nikaukosa kwa wajumbe kufanya Yao.
P
 
Naona Pasco ana trend tu mitandaoni! Kuna ka kitu kameingia watu huko, ukweli unaumaa sana [emoji1]
 
No sauti halikuwahi kuniambia nitakuwa mbunge. Ubunge ni mimi niliutaka nikaukosa kwa wajumbe kufanya Yao.
P
ccm huwa hawakupi ubunge kama huna utajiri bro.
Ni chadema pekee inayoweza kuingiza masikini mwenye akili bungeni.

Nakuhakikishia ukiingia upinzani utabebwa na upepo wa mabadiliko na chuki dhidi ya ufisadi wa ccm.

Vinginevyo baki ccm upige mapambio usubiri huruma ya rais😂😂
 
Subiri kuna dossier yako iko jikoni ikitoka ndiyo ujitoe humu. Utafurahi wewe mwenyewe na moyo wako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe umtishe huyu jamaa? Huyu ameanza kutingisha serikali na pengine ndio aliyebeba historia ya kutingisha kwenye TV kama muasisi na till today hakuna kama yeye kwa kipindi cha mahojiano!

Akaandika historia nyingine ya kumuuliza swali tata "Simba wa yuda" JPM! pengine hakuna mwandishi aliyefanikiwa na hatokuwepo!

Pambaneni kwa hoja, vitisho ni dalili ya udhaifu!
 
Labda Kama alikuwa anatingisha Majinga yenzake lakini kwa watu wenye Akili tunamuona ni hamnazo tuu ndio maana hata Magufuli alimwambia huyo mchumia tumbo kuwa ana njaa kali. Amezeeka halafu anataka kazi za kutumwa tumwa kuteuliwa na kuwabania watu matako.
Tunashauri ili tuwe na taifa la watu wenye Akili timamu hizi nafasi za kuteuana bila sifa ziondolewe haraka na KATIBA mpya ndio suruhisho la haya Mambo.
 
Hiviii wewe Paskali Manjaa una umri gani??...make haya uliyo yaaandika na kuweka wazi hiviii loool!.....au unatutania Mkuu!....hivi unajua Mdomo unaumba??.......shemeji/wifi wa USA amerudi lkn??.....

Nataka niwa suruishe ......utulie manake naona sasa...unamuhitaji awe karibu yako! au ndo ulisusa jumla!
 
Kwaheri
 
Hahahahahahaha

Mayara Kwa Kisukuma ni Njaaaaa
Mayara Oyeeee

Ila Jiwe aliingiza Kingi watu wengi sana
 
Nonsense
 
KUJIFICHA FICHA KUMEKOMA
 
Hiviii wewe Paskali Manjaa una umri gani??...
Mimi ni wa 60s hivyo naelekea 60!.
make haya uliyo yaaandika na kuweka wazi hiviii loool!.....au unatutania Mkuu!....hivi unajua Mdomo unaumba??.......
Hili la kauli kuumba, nalijua sana na hata humu jf nimelizungumza sana
1. Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Ikulu Kiongozi Tunayemtaka!. Mdomo Huumba!.
2. Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii?
3.https://www.jamiiforums.com/threads/maharage-ya-mbeya-maji-mara-moja-ni-kauli-ya-kweli-ni-kwenye-maharage-tu-au-hadi-kwa-wanambeya-kama-kauli-huumba-jibu-sahihi-ni-oktoba-2020.1695829/
4. Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

5. Hapa nimeweka baadhi ya kauli umba zangu na nini zilichokiumba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia..
shemeji/wifi wa USA amerudi lkn??.....
No bado yuko US, sisi watu wa Kanda ya Ziwa, mambo hayo ni mwendo wa kiti cha basi!, unaposhuka, mwingine hukaa!.
Nataka niwa suruishe ......utulie manake naona sasa...unamuhitaji awe karibu yako! au ndo ulisusa jumla!
Abiria wako kibao, tena sio tuu abiria, hadi tumekumbana na Changamoto za Kupata Mtoto Mchanga, Ukiwa Umri wa Kustaafu!. Unakuwa ni Baba Babu!. Dawa ni Kujipanga Kabla, Vinginevyo ni Kubebesha Watu Mizigo Yako!
P
 
Mbona tulijua kitambo tu! Post zako zote zilikuwa zinalenga kukubalika kwenye siasa zetu za uteuzi na upendeleo kutokana na unachoandika. Kila la kheri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…