Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Mbona tulijua kitambo tu! Post zako zote zilikuwa zinalenga kukubalika kwenye siasa zetu za uteuzi na upendeleo kutokana na unachoandika. Kila la kheri!
Mkuu Mu7 , duh...!. Unamaanisha posti zangu ni za kujikomba ili nilambe teuzi?. Mfano sasa ni awamu ya Mama, hujabahatika kuona tukiandika Kritiki?.
P
 
Sawa BabaBaabuuu! nimekuelewa, ina niuma sana, WIFI/Shemeji kuondoka hivi hivi! na kalimbwata kakulisha kidogo lazima roho iume au kuzimia kabisaa kidogo!...sasa naomba kuuliza yuko mitaa gani kule USA!

usimung'unye Maneno weka wazi bana !!! ila ka-umri umekavuta Best!...na kona humu Duniani umekula sana! tuonane Bungeni!
 
Mkuu Mu7 , duh...!. Unamaanisha posti zangu ni za kujikomba ili nilambe teuzi?. Mfano sasa ni awamu ya Mama, hijabahatika kuona tukiandika Kritiki?.
P
Bana weee! Unajali hilooo??? kwani kujikomba ni dhambi?? usipojikomba utachelewa sana kutoboa bana wee! mbona yeye anajikomba kwa kimke chake kile cha Msalato juu??? hatusemi!......akijifanya Mwamba kinamtema!

Wee! bana komaa ivo ivooo! watakuja kuomba maji hao!...kosa eti mie Najuana na Mama Samia baaasi najikomba wajameni waswahili mna mambo!!
 
bila shaka umejizatiti huko bungeni wasije wakaku-knock out kabisa mpaka tukakuzika. kuwa makini sana.
 
Kure kanda ya ziwa kuree heee ukerewe na Musoma ''Mayala'' ina maana tatu! manake (1)= Masichana!!
pili= kiherehere!..3) kwangua kwangua ukoko wa chungu sufuria au hata ukoko wa ccm!!
 
Sio kila kitu cha April mosi ni mambo ya sikukuu ya wajinga!.
P
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari ambaye ni mwandishi wa habari huru na wa kujitegemea kwa kujitolea na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo huru cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari kwa media zetu za Tanzania yetu.

Nawatakia maadhimisho mema ya siku yetu hii ya leo na uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 
JF ni Maji usipoyaoga utayanywa,..hivyo jf huwa hatuagi.
 
Wewe kwenye huu uzi si ulituaga? Umekuta maji ya shingo? Aliambulia kura 1 mkuu!
 
Kumbe andiko la 2020. Gombea 2025..kila la kheri mayalla, njaa itaisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…