Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Acha undumilakuwili
 
Ike, Ikemefune , nisikilize kwa makini
halafu uniambie undumilakuwili wangu ni upi?.
P
Boldly nakuunga mkono.

Nasoma hoja unazoziweka hapa zina uzito na udhati wa mambo ambayo sisi wengine tunakosa kuyanuizia kwenye hoja zetu.

Tatizo la Tanzania ni uwepo wa watu wanaoamini katika business as usual, hawaamini katika usahihi wa mambo bali wanaishi kwenye exceptionals maisha yao yote.

Je bado umeweka mguu siasani au tusubiri ile ahadi ya 2030?
 
Sawa tupo tutaona. Kila lenye kheri likawe mbele yako.
 
Kila la kheri, tupumzike kero zako humu! Ulikuwa unatukata stimu sana!!
 
Ww mzee kumbe ulistaafu? Mbona Mimi naziona makala zako kwenye magazeti au nitofauti na kustaafu?
Kustaafu ni pale unapokuwa umestaafu kuajiriwa, hivyo mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, silipwi na yeyote, naandika kwa mapenzi tuu.
P
 
Boldly nakuunga mkono.
Asante
Nasoma hoja unazoziweka hapa zina uzito na udhati wa mambo ambayo sisi wengine tunakosa kuyanuizia kwenye hoja zetu.
Asante
Tatizo la Tanzania ni uwepo wa watu wanaoamini katika business as usual, hawaamini katika usahihi wa mambo bali wanaishi kwenye exceptionals maisha yao yote.
Ndio maana tunaingia ili kusaidia.

Je bado umeweka mguu siasani au tusubiri ile ahadi ya 2030?
Namaliza harakati 2025, 2030 nitakuwa over 60 hivyo it will be a bit too little too late.
P
 
Sasa Paskali, pengine umejifunza kuwa siasa is a game of chance.
Jaribu tena 2025, lakini jitayarishe na kitita cha kutosha.
Wapiga kura, hata wanaokujua fika, huwa wanakujia na njaa za kujitengenezea, ili uwashibishe, hata kwa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…