Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

kumbe ni sikukuu ya wajinga nilitaka kukupa ushauri nikafuta ... ila kuna uliyoyaeleza ya kweli kwenye mistari yako
 
Asante sana mkuu na hongera kwa maamuzi yako uliochagua.

Kuhusu ulikotoka kikazi vipi changamoto ulizowahi kukutana nazo kimsukosuko wa kazi na vipi faida ulizopata katika kazi zako ambazo katika maisha yako hawezi kuzisahau.

Nyongeza:
Umesema utagombea ubunge vipi jimbo gani mkubwa unatagombea
 
Pascal Mayalla Yaani siku ya wajinga ndo umeandika insha yote hii?Nimesoma kichwa cha habari pekee. Sijasoma habari yote maana mimi si mjinga. Ila why unapoteza time yako kuandika insha ndefu only to fool people ?
Anaongea yaliyomsibu ametumia Siku ya wajinga kama cover lakini ukweli mhusika kashaupata ...
 
Nawakumbusha leo ni siku ya wajinga hivyo taarifa hizi sio za kweli.
Hata hivyo thread hii inammsaidia pasco kutambua reaction ama mtizamo wa watu dhidi yake.
Hata hivyo kama Pasco ameamua kujiunga na CCM kila la kheri
 
Mi nafikiri kuna baadhi ya watu mmeshindwa ku read between the lines. Hiyo thread ya Mr. Pascal ina pande mbili zifuatazo

1. Its April First... So joke intended

2. Kama ni kwel basi ameamua kutumia kalam yake na unguli wake wa uandishi kuandika kulalamika kwa kutumia tafsida alichofanyiwa na Serikal... ukisoma maelezo yake kuhusu kilichotokea ikulu na kuitwa bungen kisha ukasoma mgawanyo wa fedha zake katika mchakato wa Ubunge basi jibu linakuwa moja tu nalo ni kuwa ametumia tafsida kulalamika kinachomsibu huku akiwananga CCM.

Huwez kusema hadharan utamtengea fedha msimamizi wa uchaguz ili akusaidie ushinde Pascal anajaribu kuwaeleza wa TZ kuwa mambo hayo yapo


Hajastaafu Uandishi ila ameonyesha ni jinsi gani alivyobobea katika tasnia hii,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata kama ni ule Mkwara wa April Mosi. Umetumia nguvu kubwa saaaana... Nimeamini jinsi unavyoanza kuzeeka unaanza kuwa MTOTO...
 
Nmekataa mapema kusema utauza nyumba na kuandaa hela za campaigns ni kajua Leo siku ya wali wao. Wajinga ndio pilao yao. Ahaaa!
 
Mkuu Paskali, leo Aprili Mosi ni sikukuu ya Wajinga. Je! Huu utakuwa ni msimamo wako mpaka ifikapo saa nne asubuhi ya siku ya leo? Lakini kama itakuwa ndivyo hivyo katka uamuzi ulioukufikia nakutakia kila la heri bro katika maisha yako mapya ya kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Umefanyiwa mizengwe kwa lile swali tu ulilouliza?? UKANYIMWA KAZI ZOTE Ulizokua unafanya hivi kweli nchi hii imefikia hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…