Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Japo umefanya utani kwa wanaJF lkn huenda ikawa ndo njia sahihi kwako kuitumia hii siku kumwaga ukweli wako
... na nilikwambia NJAA au mayalla ki-HOMBOY kwetu ndo hivyo. MEKO still anakucheki tu na hatokufanya chochote atakuacha na NZALA yako kama alivyokwambia.
tunasubiria kwa ujio wako mpya JF kwa ID MPYA.
 
Mmh🤔🙄leo ni April 1 siku ya wajinga duniani! Ila mseveni kasema ni siku ya wenye akili duniani! Isiwe kama anatupiga changa la macho mzeebaba ngoja tucheck
 
NAONA UMEITUMIA APRIL MOSI VIZURI
 
All the best to you
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakuombea kheri mkuu, milango ya riziki ifunguke.
Kabla hujaingia rasmi kwenye siasa inabidi uandike hata vitabu 5 wewe ni mwanahabari mkubwa,mchango wako mkubwa na umefanya mengi.

Vitabu utavyoandika itakuwa ni kumbukumbu isiyofutika kwa jamii.
Ukiisha anza kutembelea Land Cruiser VX V8,posho,per diem na AC utasahau kuweka kumbukumbu ya vitabu, utakuwa una like comments za jamii forum.
 
Man's strength flows from his own appetite
 
. Heri ya Sikukuu yenu leo.. April 1st...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…