Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Hivi kwa nini hapa bongo watu wanaenda kutafuta mafanikio kwenye siasa, tofauti na wenzetu unakuta mtu ameshafanikiwa tayari kimaisha anaenda bungeni kama kutoa huduma tu ya uwakilishi siyo kushibisha njaa yake, shida ni nini? ndo tunaishia kusikia huyu kapewa mil. 200 ili aunge juhudi, utaona kabisa hawa ni waganga njaa siyo wawakilishi wa watu..
 
Kila la kheri Kaka Mkubwa Wazee wngu wamenifundisha jambo nami pia napenda kuwapa ndugu zangu humu ndani. KUHESHIM MAAMUZI YA MTU... Narudia tna kila la kheri ndugu yngu pole kwa matusi na kejeri utakazopata humu ndani ila Nina Imani upo imara na utasimama Imara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeamka kutoka usingizini nakajikuta nalia. Haya bwana ila ukumbusho tu kuwa leo ni tarehe 1 Aprili, 2020. Wenye lugha yao hiita Aprili fulu, nasi kwa Kibantu tukaitohoa, kama kuifasiri, kuwa siku ya wajinga.
 
Wajinga day....sioni alipomaanisha.
Tsngu lini msimamizi anatengewa fungu na mgombea na ikasemwa waziwazi
Pascal Mayalla umeharibu lakini mmmh
Tukumbuke leo april mosi mzee baba ameamua kustaafu!
Sawa Paskali.....sasa ni muda muafaka wa kuingia siasa
Du kwa mara ya kwanza kusikia mtu anaachana na proffesion yake. Nilizoea kujuwa kwamba ni kaburi tu humtenganisha mtu na utaalamu wake. Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida Msukuma akivuta Bangi, humpa nguvu za kulima! Sasa wewe P umevuta Bangi imekupa nguvu za kuisifia CCM na JPM LoL!
 
Leo ni sikukuu ya wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chige hii hesabu yake ya miaka ya kazi nami imenisumbua
(Tatu, wewe Paskali umezaliwa 1968! Miaka 30 iliyopita ni 1990, na kwahiyo ulikuwa 22 years! Kwa miaka ya nyuma, ni ngumu mtu aliyefika hadi Form VI awe tayari Mwandishi at the age of 22!)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni sikukuu
ya wajinga lakini mukumbuke
 
Kweli Paskali kwa hili nimekukubali maana umeandika uzi adimu sana.
Nikutakie kila la kheri mkuu.
 

[emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Naona umetumia siku ya wajinga kuwatukana sana wapinzani ikiwa ni pamoja na kiwaita Saccos,lakimi pia umewasifu sana CCM kwa sifa kede kede!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…