Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor).

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,039
Habari zenu wana JF? Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor).

Sifa za mke ambaye Napenda niwe nawe ni kama ifuatavyo:-

1. Awe ni Msomi.

2. Awe na kazi inayoeleweka au hata kama hana kazi. Sipendi kuwa na mke ambaye hana kazi maana ni kero sana.

3. Awe ni mweupe na awe ameumbika vizuri na siyo lazima awe na msambwanda mkubwa sana ila awe na figure amazing.

4. Awe na urefu wa kati- asiwe mrefu sana wa mfupi sana.

Kama kuna mwanamke yeyote yupo tayari kuwa mke. Naomba tuwasiliane.

Mwisho, naombeni ushirikiano wenu katika kumpata mke mwenye sifa nilizozitaja hapo juu.

Ahsanteni sana na muwe na weekend njema.
 
5. Awe Ajuza(Bibi kizee)

"Stand for the truth always stand alone"

Wallah nimekosa mume😂😂😂😂
Upo wewe mtu..
 
Wallah nimekosa mume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo wewe mtu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo Chakorii. Tutafutane basi mwanamke mzuri. Njoo WhatsApp.
 
Back
Top Bottom