Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor).

Brother sitaki kuoa uneducated kwa sababu wana inferiority complex, pia nahisi hatoweza kuwa mentor mzuri kwa wanangu ili wapate elimu nzuri maana yeye hana.
 
Usimpangie Mungu Mke mwema aliyekupangia kabla hata hukuzaliwa maana yote ufanyayo chini ya jua tayari alishayajua "YEREMIA 1:5"

Pia Mke mwema hutoka kwa Mungu na hakukuwekea vigezo sharti awe amesoma, mzuri wa sura na maumbile, anafanya kazi au awe na mali "METHALI 19:14"
Jobless women ni shida sana. Nataka niwe na Mke ambaye tutazungumza lugha moja.
 
Brother sitaki kuoa uneducated kwa sababu wana inferiority complex, pia nahisi hatoweza kuwa mentor mzuri kwa wanangu ili wapate elimu nzuri maana yeye hana.
Hao waliosoma ushachunguza madhaifu yao na kujua jinsi gani wana tabia chafu kwa kujificha ktk kichaka cha elimu na kazi wanazofanya?

Oa afya na upeo wa Mtu kimaisha ili ufurahie maisha ndugu 7bu hao unaowataka ndiyo wengi wao wamekuwa janga la Taifa kwa kusumbua kila kukicha ktk ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…