Nimeamua kutangaza Nia na ninaomba Mniunge Mkono katika Hili!

Mkuu mziki wa Lara 1 utauweza wewe na ukulima wako wa nyanya na Alizeti? Maana nayajua maisha ya Lala1 kwa siku yako hivi:
1.Kifungua kinywa Tsh 20,000/=
2.Lunch Tsh 40,000/=
3.Dinner Tsh 40,000/=
4.Huduma za salon Tsh 50,000/=
5.Mafuta ya Gari Tsh 30,000/=
6.Kifurushi cha Internet Tsh 2,000/=
7.Muda wa hewani wa simu Tsh 5,000/=
Jumla Tsh 187,000/=

Kwa wiki moja = 187,000/= X 7 =1,309,000/=
Kwa mwezi 1= 1,309,000/= X 4 = 5,236,000/=
Na hapo bado sijaweka matumizi mengine. Sasa mkuu jipime, mashamba yako ya Nyanya na Alizeti yanaweza kuzalisha fedha hiyo kwa mwezi? Kazi ni kwako!
 
Siasa za mahaba hazijengewi jukwaa Jangwani. Jukwaa Lake MMU. Hehe..
Sema umeongea sana ka mgombea wa kijani na njano.. Ungefanya kama wa magwanda maneno mbili tatu, mkwanja mbele... Mbona Lara angeshakuja hapa zamaani.. Anyway, records zinaonesha alieongea sana ndo mshindi so wish you the best of luck in trying to define your sexual destiny.
 
Ya ukweli hayo mkuu?
 
Pole sana lakini nina matumaini majibu hayatakuwa mabaya sana maana hata akitolea nje mzigo mwambie hata kuwa rafiki inatosha.
 
Mbona haji jamani,...me mwenyewe nimemiss michambo yake hatari...!!
utampata lakini jiandae kufilisika.
Hahhahha kuna msanii aliimba Mungu nijalie demu mpenda pesaa.....unakumbuka hio mistari? Na mimi ngoja nijaribu kuapply hapa
 
Komaa mwanangu, nyanya na alizeti ndio habari ya mjini, hata lara 1 anajua, unaweza kumng'oa kimasikharasikhara hivihivi.
Umeona eeh Dar nyanya 3 ndogo sh.500 sasa Lara 1 ataondokana na hilo tatizo, alizet zinapesa pia atakuwa hangaiki mafuta ya alizeti ya kupikia
 
Katika kulia lia kwako umejisahau kuandika kuwa unafanya kazi gani...???

Unaishi wapi...??

Una masta kadi au viza kadi...???

Nadhani hivi navyo vingekuongezea maksi...
Mbona nimesema mkuu mimi ni mkulima,mambo ya bank mimi ni mgeni!
 
@Lara1... Kuna mlugaluga amekumind huku!. Changamkia dili hiyo!.
 


Anapatikana sinza kumekucha au kona bar Maelezo mengiiiiiiiii. pumba tu..km unapmpna c umfate pm kuliko kutujazia feeds tu hapa.
 
Aisee!
Kaka wewe kaza buti hakuna kinachoshindikana chini ya jua!
Isitoshe Wanawake wana huruma sana.
Na kwakua Umejieleza vizuri Mungu akusaidie tu!
 


Acha kumtisha mshkaji bana. Kwani kasema anamtaka Meg Q?
 
Nilitafakari sana lakini nikajisemea ngoja nipige moyo konde yeye ndo atakuwa chachu ya mfanikio yangu kama nikimpata

sidhani kama yeye anataka kuwa chachu,yeye anataka uwe umefanikiwa tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…