Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
hahaha miujiza bado inatendeka etTeh teh teh miss neddy hahahah yaweza kuwa bahati ya dodo kwenye muarobaini huezi jua
hahaha miujiza bado inatendeka et
Dushe litamtuliza.Kaza buti mkuu.,Ila Lara mtoto wa town mishe mishe na uhuni mwingi, we mkulima wa nyanya utamweza kweli.?
Duuuu! Hata mimi nilitaka kumwambia hivyo hivyo
Sasa kama sielewi nifanyaje
Ya ukweli hayo mkuu?
Mmmh....Haya AsanteNimeshasema ya uhakika kuto tahadhari...yabidi kujichunga na huyu mdada.
Pm ili iweje mkuu kwani kumpenda mtu ni Siri?Anapatikana sinza kumekucha au kona bar Maelezo mengiiiiiiiii. pumba tu..km unapmpna c umfate pm kuliko kutujazia feeds tu hapa.
Tamaa ni hisia vile unavyo hisi na ku imagin kuwa ningekuwa na Lara 1 hapa pange faa nikajikuta naangukia kupendasasa we umetamani nini kutoka kwake..?
Kidogo bank nina tuhela twa kubadirishia Mboga kama mvua ikizingua
Isije ikawa kisa cha fisi na mkono wa binadamu.Asante kwa kunitia Moyo! naweza okota embe dodo chini ya Mnazi
ndo mzuri cz atakupa sababu ya kutafuta zaidiHahhahha kuna msanii aliimba Mungu nijalie demu mpenda pesaa.....unakumbuka hio mistari? Na mimi ngoja nijaribu kuapply hapa