Nimeamua kutangaza Nia na ninaomba Mniunge Mkono katika Hili!

Nimeamua kutangaza Nia na ninaomba Mniunge Mkono katika Hili!

Aliyependwa mwenyewe hata hajaongea neno watu mnapoonda. Usikate tamaa mkuu, jipe moyo unachukua jiko hivi hivi watu wakiwa wanaona
 
Hahhahha kuna msanii aliimba Mungu nijalie demu mpenda pesaa.....unakumbuka hio mistari? Na mimi ngoja nijaribu kuapply hapa
ndo mzuri cz atakupa sababu ya kutafuta zaidi
 
Back
Top Bottom