Nimeamua kutokuoa

Nimeamua kutokuoa

Miaka mitatu nyuma nilikuwa nasema hivyo hivyo, mainly kwa sababu sikuwa naipata picha kichwani mwangu nikiwa na familia. Maza angu akawa ananiambia ni akili ya utoto tu, itaondoka with age. She was right.
 
mhhh endelea kutafakari na uchukue hatua.

Kama umekwazwa sana na mpenzio jaribu kumrudia Mungu kwa ukaribu maumivu yataisha.

Hakuna raha kubwa kama uoe umpendae na akupendae utaishi muda mrefu zaidi kuliko kuwaza kuto oa mkuu.

Nakusalimu, katika jina la bwana...
 
Mtume paulo alisemaje?
Cc mchungaji Illovo...
 
Last edited by a moderator:
Imeandikwa katika Biblia takatifu. 1 Wakorinto 7 mastari wa 8 hadi 9, nanukuu "nawaambia Kwa wale ambao hawajaoa bado, ni bora wabaki Kama mimi nilivyo, lakini Kama watashindwa kujizuia na tamaa, ni bora kuoa kuliko kuwaka tamaa". Mwisho wa kunukuu..
 
Back
Top Bottom