Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 490
ila pia uamue kutokuolewa
Hahahahah.. Mtaadharisheni mapema, asije akajiunga upande wenu bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila pia uamue kutokuolewa
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.
Bado sana kiasi. Ila picha ya familia naiona sasa.
Hahahahah.. Mtaadharisheni mapema, asije akajiunga upande wenu bure
naomba kukuoa miss chagga
Me sina la kuongeza
Hahaha. I'm a grown up for real. Mi wanawake hawajawahi kuniumiza kichwa kabisa.Fanya haraka uoe usiwaze mke unaymuoa tu waza na watoto utakaozaa, wanaogopa kuoa ni wale wanaowaza wanawake wasumbufu badala ya kuwaza watoto ambao ni baraka
"I'm a grown-up"
Sitaki njaaa
mapema sana .. me sitaki njaa😀 njaa inaua
ndiyo huna mpango wa kulea shibe wewe ... kila siku njaa tu njaa tu hapana aiseeeleo umeamua kunivua nguo hadharani kipenzi change?