Nimeamua kutokuoa

Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Karibu Ktk Chama Changu Cha The Senior Bachelors Party Ambapo Mimi Ndiyo President Mwenyewe. Na Nashukuru Mungu Mpaka Sasa Members Wangu Wamezidi Hata Idadi Ya Wapiga Kura Waliompigia Kura Lowassa Ktk Uchaguzi Mkuu Ulioisha Na Inazidi Kuongeza Kila Kukicha. Siku Hizi UKIOA Tu Jua Ya Kwamba UMETUNZA Kama Siyo KUHIFADHI Bomu Ndani Ya Chumba au Nyumba Yako Na Muda Wowote Litalipuka. Napenda Mno WANAUME Wanaojitambua Kama Wewe Ambao Hawapendi Kuoa. Ila Tu Hakikisha Mkuu Unawabandua Na Kuwatagisha Sana Kwani Inaleta Hadhi Ya Kiumeni Na Adabu Kitaani.
 
Fanya haraka uoe usiwaze mke unaymuoa tu waza na watoto utakaozaa, wanaogopa kuoa ni wale wanaowaza wanawake wasumbufu badala ya kuwaza watoto ambao ni baraka

"I'm a grown-up"
Hahaha. I'm a grown up for real. Mi wanawake hawajawahi kuniumiza kichwa kabisa.
 
Kuoa ni bora, ila kutooa ni bora zaidi! Maana imeandikwa hivi , 'MWANAUME AKIOA ATAFANYA MAMBO MENGI KUMFURAHISHA MKEWE, NA SIO MUNGU WAKE, VIVYO HIVYO KWA MWANAWAKE, AKIOLEWA ATAFANYA MAMBO MENGI KUMFURAHISHA MUMEWE, NA SIO MUNGU WAKE' Kwamaana hiyo nakushauri, usioe ili umtumikie BWANA MUNGU wako.

Ila (UKIWAKA TAMAA)ZINAA ikikutawala, na UOE ili usianguke dhambini!

Ndio ushauri wangu kwako!
 
atoto naomba nikusalimie!!!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Inamaana unataka kusema Mungu aliyeanzisha ndoa alikuwa mjinga na mpumbavu?
 
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

very good....wait when you are 65yrs old
 
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Karibu sana mkuu wenzako tulisha fanya maamuzi magumu long time!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…