Nimeamua kutokuoa

Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Kumbe ni tamuuuu...! Huenda ndio maana...! Otherwise, umeathirika kivingine...!
 
Namuawaza Sana mamangu nikifikiria kuoa.
 
Ila kwa ujumla kama unaweza bila kuoa ni maisha mazuri..Maana kuna stree kubwa sana kwenye ndoa. Hasa pale utakopooa mwanamke ambaye hamuendani kimtizamo na mawazo. Inaweza ikakurudisha nyuma sana
 
You've grown into a softie these days!!!
Hahaha. No sh!t bro. I've realized as I age, I also grow sensitive. At this rate, I might turn into a Drake before I hit a score and a half.

Not too sure if it's a good, or a bad thing man.
 
Wapi Mungu alianzisha ndoa wewe? Acheni kumsingizia kila kitu Jah!

Mungu alianzisha ndoa pale alipowabariki Adam na hawa na kuwaambia "Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha." Soma Mwanzo 1:28.
 
Baada ya kutafakar nimegundua kutokuoa kuna maana kubwa sn.Yani ukitaka uishi vzr usioe duniani hapa,nakwambieni kabisa.

Nawashangaa sana wanao oa. Hakuna maisha matamu kama kuwa single.
 
You age pretty fast dude........
Yeah man. Numbers change by the second. Every new day, I look back at some of the stuff the yesterday Me said or did, and feel somewhat embarrassed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…