Nimeamua kutulia na mke wangu

Mi mke wangu alikagua simu yangu akakuta meseji za mchepuko nataka nimpe talaka kwa kosa la kukagua simu yangu bila ridhaa yangu kaomba msamaha ila siwezi kumsamehe labda wazazi wake waje kumuombea msamaha
 
Kwa sasa najitahidi kupambana na vishawishi tu, unajikuta unamtimizia malengo yake huku ya kwako yakiwa yamesimama
 
Wanawake mlioolewa jiandaeni kuona wame zenu kuacha pombe na michepuko aloo hali ni mbaya sana kwenye mapochi yetu karibia tutajiunga na nyie kuangalia ile michezo ya kwenye Tv za Azam kwenye Tv kila jioni
Inabidi kufanya maamuzi magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…