Nimeamua kutulia na mke wangu

Nimeamua kutulia na mke wangu

Mi mke wangu alikagua simu yangu akakuta meseji za mchepuko nataka nimpe talaka kwa kosa la kukagua simu yangu bila ridhaa yangu kaomba msamaha ila siwezi kumsamehe labda wazazi wake waje kumuombea msamaha
 
😶
 

Attachments

  • downloadfile-6.jpg
    downloadfile-6.jpg
    155.2 KB · Views: 2
Yote ni ubatili na hakuna jipya. Ukimaliza kupiga (post nut clarity) na kuanza kufikiria gharama ulizoingia unaishia kujiona boya tu. Hapo bado mamikosi, laana na mamizigo mengine ya kiroho uliyojibebesha. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama kubwa za kimwili na kiroho kama uzinzi!

Umefanya uamuzi wa maana sana na Mungu Akushike mkono na kukuongoza!
Kwa sasa najitahidi kupambana na vishawishi tu, unajikuta unamtimizia malengo yake huku ya kwako yakiwa yamesimama
 
Wanawake mlioolewa jiandaeni kuona wame zenu kuacha pombe na michepuko aloo hali ni mbaya sana kwenye mapochi yetu karibia tutajiunga na nyie kuangalia ile michezo ya kwenye Tv za Azam kwenye Tv kila jioni
Inabidi kufanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom