Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Utakaliaje simu 😀Hapokei, atakua kakalia simu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakaliaje simu 😀Hapokei, atakua kakalia simu.....
Naogopa hiiNjoo second floor 302 unihubirie

Kwa sasa najitahidi kupambana na vishawishi tu, unajikuta unamtimizia malengo yake huku ya kwako yakiwa yamesimamaYote ni ubatili na hakuna jipya. Ukimaliza kupiga (post nut clarity) na kuanza kufikiria gharama ulizoingia unaishia kujiona boya tu. Hapo bado mamikosi, laana na mamizigo mengine ya kiroho uliyojibebesha. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama kubwa za kimwili na kiroho kama uzinzi!
Umefanya uamuzi wa maana sana na Mungu Akushike mkono na kukuongoza!
Wanasema hakuna mapenzi ya kweli yenye malengo na mme wa mtu, wao ni kuigiza tu ili wafanikishe wanachotaka.Mchepuko kila ukiuuliza 'unaendeleaje?'
Majibu ni "Vizuri ila si sana."
Kila siku mgonjwa yeye, vitu vinamuishia yeye, ilimradi tu utume hela.
Inabidi upokee kijiti mkuuMkuu hongera kwa kustaafu, baki njia kuu michepuko sio dili
😁😁😁😁Njoo second floor 302 unihubirie
Subiri usiku..Mi mke wangu alikagua simu yangu akakuta meseji za mchepuko nataka nimpe talaka kwa kosa la kukagua simu yangu bila ridhaa yangu kaomba msamaha ila siwezi kumsamehe labda wazazi wake waje kumuombea msamaha
Mniombee nishinde vishawishiNa utulie kweli bro🤝
Nini tena mkuuKimekuramba
Inabidi kufanya maamuzi magumuWanawake mlioolewa jiandaeni kuona wame zenu kuacha pombe na michepuko aloo hali ni mbaya sana kwenye mapochi yetu karibia tutajiunga na nyie kuangalia ile michezo ya kwenye Tv za Azam kwenye Tv kila jioni