Nimeamua kutulia na mke wangu

πŸ˜‚πŸ˜‚ Harakati Pimbi za Equation X
Final Chapter
THE END
 
Mimi ndio maana utakuta tushapangana kabisa na demu dakika za jioni kabisa natia mpira kwapani naenda kunywa bia tuu mamamaeee maana nikianza kuwaza gharama,mikosi na baada ya hapo hakuna faida yoyote nipatayo naamua kupiga monde tuu.
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜› Huna ndefu yake ? Mitego kama hii ukinasa hakuna wa kukulaumu.
 
Sema tu kuna changamoto zimejitokeza, mtonyo au afya mgogoro, haya mambo hua hatuachi hivi hivi tusidanganyane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…