Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mniombee nipambane na vishawishiHongera sana mkuu
😂😂 Harakati Pimbi za Equation Xkatika harakati zangu za kuwa na sampuli mbalimbali; wenye chura matata, warefu, wafupi, wembamba, wanene n.k, nimeona hayo maisha ni ubatili mtupu.
Mwisho wa siku wanakuwa hawana shukrani, zaidi ya kuwa wapigaji tu; wengi wanaingia kwenye uhusiano kama ajira.
Utasikia bebii nimeishiwa hiki, mara mtoto amemeza mtungi wa gesi, mara natakiwa saluni n.k.
Kwa ujumla, walikuwa wananifanya kichwa kuchanganya mafaili na moyo kwenda mbio.
Kwa sasa nimeamua kubaki njia kuu nile mafao yangu ya uzeeni na mke wangu; waswahili wanasema, uliyeokota naye kuni ndio utakayeota naye moto.
Kwa michepuko tuliozaa pamoja, tuonane baada ya miaka 20 katika kuwaozesha hao watoto wetu; msisahau kuniletea kadi; hakutakuwa na kupasha kiporo.
Kijiti namkabizi kijana mmoja machachari hapa jukwaani, ikiwezekana mpendekezeni.
Mstaafu baharia,
Kumbuka shetani ana nguvu 😀😂😂 Harakati Pimbi za Equation X
Final Chapter
THE END
Tupambane na maradhi, ujinga na umasikiniBaada ya kuokota UTI za kutosha umeona ukamgawie mkeo.
Usiniangushe please! 😄Shetani ana nguvu sana, kidogo niufute huu uzi
Mnajipa shida sanaMchepuko kila ukiuuliza 'unaendeleaje?'
Majibu ni "Vizuri ila si sana."
Kila siku mgonjwa yeye, vitu vinamuishia yeye, ilimradi tu utume hela.
Ni kweli, lakini sometime unapotea hata miezi 4 hivi...Wakati mwingine kuwa jukwaani kunakufanya usizeeke mapema
Maandiko yanasema, usimjaribu bwana Mungu wakoUsiniangushe please! 😄
Ngoja kwanza nimalizie kuvuna mpunga huku porini, mawazo yanaweza kubadilika mkuu 😀Huwa hatusemi, inakuja tu naturally, we bwana Equation x bado sana...🤪
Mimi ndio maana utakuta tushapangana kabisa na demu dakika za jioni kabisa natia mpira kwapani naenda kunywa bia tuu mamamaeee maana nikianza kuwaza gharama,mikosi na baada ya hapo hakuna faida yoyote nipatayo naamua kupiga monde tuu.Yote ni ubatili na hakuna jipya. Ukimaliza kupiga (post nut clarity) na kuanza kufikiria gharama ulizoingia unaishia kujiona boya tu. Hapo bado mamikosi, laana na mamizigo mengine ya kiroho uliyojibebesha. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama kubwa za kimwili na kiroho kama uzinzi!
Umefanya uamuzi wa maana sana na Mungu Akushike mkono na kukuongoza!
View attachment 3056422
Au "dear nikwambie kitu" hapo ujue mzinga Wakimarekani unakuja,wewe mjibu usiniambieeee au zima data tulia.Mchepuko kila ukiuuliza 'unaendeleaje?'
Majibu ni "Vizuri ila si sana."
Kila siku mgonjwa yeye, vitu vinamuishia yeye, ilimradi tu utume hela.
Vishawishi lazima viwepo mkuu maana kuna pisi utafikiri zimeshushwa kutoka mbinguni laivu. Na sasa hivi kila kitu kitakula njama ili kukuangusha. The entire universe will be against you ili kukujaribu. Hata pisi ambazo mlikuwa hamsalimiani sasa hivi zitaanza kujigongesha. Usitetereke hata pisi iwe kali namna gani 😁
View attachment 3056362