Nimeamua kutulia na mke wangu

Nimeamua kutulia na mke wangu

katika harakati zangu za kuwa na sampuli mbalimbali; wenye chura matata, warefu, wafupi, wembamba, wanene n.k, nimeona hayo maisha ni ubatili mtupu.

Mwisho wa siku wanakuwa hawana shukrani, zaidi ya kuwa wapigaji tu; wengi wanaingia kwenye uhusiano kama ajira.

Utasikia bebii nimeishiwa hiki, mara mtoto amemeza mtungi wa gesi, mara natakiwa saluni n.k.

Kwa ujumla, walikuwa wananifanya kichwa kuchanganya mafaili na moyo kwenda mbio.

Kwa sasa nimeamua kubaki njia kuu nile mafao yangu ya uzeeni na mke wangu; waswahili wanasema, uliyeokota naye kuni ndio utakayeota naye moto.

Kwa michepuko tuliozaa pamoja, tuonane baada ya miaka 20 katika kuwaozesha hao watoto wetu; msisahau kuniletea kadi; hakutakuwa na kupasha kiporo.

Kijiti namkabizi kijana mmoja machachari hapa jukwaani, ikiwezekana mpendekezeni.

Mstaafu baharia,​
😂😂 Harakati Pimbi za Equation X
Final Chapter
THE END
 
Yote ni ubatili na hakuna jipya. Ukimaliza kupiga (post nut clarity) na kuanza kufikiria gharama ulizoingia unaishia kujiona boya tu. Hapo bado mamikosi, laana na mamizigo mengine ya kiroho uliyojibebesha. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama kubwa za kimwili na kiroho kama uzinzi!

Umefanya uamuzi wa maana sana na Mungu Akushike mkono na kukuongoza!

View attachment 3056422
Mimi ndio maana utakuta tushapangana kabisa na demu dakika za jioni kabisa natia mpira kwapani naenda kunywa bia tuu mamamaeee maana nikianza kuwaza gharama,mikosi na baada ya hapo hakuna faida yoyote nipatayo naamua kupiga monde tuu.
 
Vishawishi lazima viwepo mkuu maana kuna pisi utafikiri zimeshushwa kutoka mbinguni laivu. Na sasa hivi kila kitu kitakula njama ili kukuangusha. The entire universe will be against you ili kukujaribu. Hata pisi ambazo mlikuwa hamsalimiani sasa hivi zitaanza kujigongesha. Usitetereke hata pisi iwe kali namna gani 😁

View attachment 3056362

😀😀😛 Huna ndefu yake ? Mitego kama hii ukinasa hakuna wa kukulaumu.
 
Sema tu kuna changamoto zimejitokeza, mtonyo au afya mgogoro, haya mambo hua hatuachi hivi hivi tusidanganyane.
 
Back
Top Bottom