PMWAKA
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 209
- 230
- Thread starter
- #21
Mkuu ni kweli kabisa, hata hii yangu ni Dadangu alininunulia direct kutoka Japan alipokua huko kikazi, na iko very unique na picha zake sio kama nyingi za Tanzania, ndo sababu ya kutotak kuiuza sababu naipenda sana sana, i wish hata nitaemuuzia nikiweka mambo sawa nimrudishie pesa yake anirudishieFrom experience,
Skyworth
Ni MOJAWAPO ya kampuni kongwe Sana barani ulaya.
Tena
Tv zao Ni Orijino na Expensive Sana.
Ndo maana Ni nadra Sana kuzikuta huku kwenye soko letu la dunia ya tatu
Ila zinauzwa uko Ulaya kwa watu mashuhuri.
Yuko daraja Moja na SONY, PANASONIC na HITACHI.
Hata LG au Samsung hawatii maguu KWENYE hizi tv.