SOLD: Nimeamua Kuuza Tv Yangu 43 Inch Smart Tv Skyworth

SOLD: Nimeamua Kuuza Tv Yangu 43 Inch Smart Tv Skyworth

pole sana bro.kweli ni shida imekusukuma kuuza hiyo kitu.mi mwenyewe nitauza langu mda si mwingi kwa hali hii inavyoenda hamna watalii.nikiichek hii samsung cuvvy nakuja kuuza bei ya hasara roho inauma sana
Nchi ngapi ?
 
Ukitaka kuuza niambie
 
UPDATE : Wakuu nashukuru sana TV nimeshaiuza tayari , asanteni kwa wore mliochangia mawazo yenu. Shukrani.
 
Mnaweza kufanya research ya hizo Tv then mlete mrejesho ndugu..
Ziko vizuri sisi tumazitumia kazini kama display ya monitor call flow zina miaka minne sasa na hazizimwi muda wote zipo on labda umeme ukatike
 
Back
Top Bottom