SOLD: Nimeamua Kuuza Tv Yangu 43 Inch Smart Tv Skyworth

Mkuu ni kweli kabisa, hata hii yangu ni Dadangu alininunulia direct kutoka Japan alipokua huko kikazi, na iko very unique na picha zake sio kama nyingi za Tanzania, ndo sababu ya kutotak kuiuza sababu naipenda sana sana, i wish hata nitaemuuzia nikiweka mambo sawa nimrudishie pesa yake anirudishie
 
Dah.....ningekuwa na uwezo ningekupa tu hiyo mia saba utatue shida zako tv ubaki nayo....ila ndio hivo shida ni zakwetu wanadam.... haziishi...hata mimi nna zangu hapa.....pole sana chief!
 
Okthen sikua najua hilo by the way Japanese product ziko juu always
 
Tayari sisi wa Mburahsti tulishaanza kuiponda...
 
Pole sana chief kwa unayopitia.Tv n nzuri ila changamoto ukwasi kwa raia.Kama imeshindikana basi chukua tu hyo 500k endapo itaweza solve shida yako.
Usiombe kukutwa na shida huku ukwasi teh.
 
tv ni kali hata kwa dirisha la jf sijui live ikoje.

ningekuwa na pesa nisingesita mkuu,kila la kheri.
 
pole sana bro.kweli ni shida imekusukuma kuuza hiyo kitu.mi mwenyewe nitauza langu mda si mwingi kwa hali hii inavyoenda hamna watalii.nikiichek hii samsung cuvvy nakuja kuuza bei ya hasara roho inauma sana
 
Skyworth ni Mchina sio Mjapan
 
Daaah maisha haya[emoji134][emoji134][emoji134]
Auntie ninunulie basi ila kimfaacho mtu chake acha auze atatue tatizo ajipange akipata hela anunue nyingine

Mungu akusaidie mkuu
 
Auntie ninunulie basi ila kimfaacho mtu chake acha auze atatue tatizo ajipange akipata hela anunue nyingine

Mungu akusaidie mkuu
Auntie nikikununulia ile yako wapeleka wapi?
 
Kwa kuwa jamaa anashida watu wamekazia kwenye 500 daah sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…