Nimeamua kuweka wazi

Lady doctor.
Wewe inabidi nikutafute vijana kutoka Somalia. Adhabu yako inabidi itolewe kipekee.

hao wasomali mbona nindugu zangu hawatoweza kuniadhibu ndugu yao.... Kiufupi UMEBUGI MEEEEEN!!!!
 
Last edited by a moderator:
hao wasomali mbona nindugu zangu hawatoweza kuniadhibu ndugu yao.... Kiufupi UMEBUGI MEEEEEN!!!!

Lady doctor. Kila mtu ni ndugu yako??????!!!!

Kila ninayempa kazi unajidai una uhusiano naye.
 
Last edited by a moderator:
Mzee hebu soma kwenye RED. Kumbuka hatukukubaliana upewe dozi kutwa mara tatu. Bali tulikubaliana Mamndenyi na wewe mnatane kwa mwezi mzima isichomoke kitu. tena tukakubaliana Bishanga na Lady doctor watakuwa wanawaletea uji kitandani
 
Mungi. Hureeeee.

Huo mnato wa siku 30 si unataka kuniua wewe.
 
Last edited by a moderator:
adhabu ya Mamndenyi ni kali katika woote..........

yule chama sijui chama cha nini......akisikia hii habari hakutakalika hum ndani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…