Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
- Thread starter
- #121
Hela baba!
Lady doctor.
Wewe inabidi nikutafute vijana kutoka Somalia. Adhabu yako inabidi itolewe kipekee.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela baba!
Wizi Shule ya Msingi.
S. L. P. 315
Kishumundu.
Lady doctor.
Wewe inabidi nikutafute vijana kutoka Somalia. Adhabu yako inabidi itolewe kipekee.
Kimbele mbele tu. Pili pili usiyoila inakuwashia nini??
hao wasomali mbona nindugu zangu hawatoweza kuniadhibu ndugu yao.... Kiufupi UMEBUGI MEEEEEN!!!!
Mzee hebu soma kwenye RED. Kumbuka hatukukubaliana upewe dozi kutwa mara tatu. Bali tulikubaliana Mamndenyi na wewe mnatane kwa mwezi mzima isichomoke kitu. tena tukakubaliana Bishanga na Lady doctor watakuwa wanawaletea uji kitandani=======================
UPDATE.
Jana baada ya kubandika hili bandiko. Mwenyekiti Baba V aliunda kamati ya usuluhishi. Ilikuwa chini ya
Mwenyekiti: Mungi
Katibu: Passion Lady
Wajumbe: Cantalisia, madameB, Heaven on earth, Mrembo by Nature, watu8, mshanajr, @Figganiga.
Mapendekezo ya kamati.
Baada ya kulichunguza hili swala la makini. Kamati ilipendekeza mambo yafuatayo
1. Mamndenyi anipe UTAMU mwezi mzima. Yaani siku 30 asubuhi, mchana, jioni na Usiku.
2. Lady doctor anilipe pesa zangu pamoja na kunipa utamu siku 7.
3. Arushaone na Bishanga wamepigwa faini ya shilingi moja wote kwa pamoja.
Mzee hebu soma kwenye RED. Kumbuka hatukukubaliana upewe dozi kutwa mara tatu. Bali tulikubaliana Mamndenyi na wewe mnatane kwa mwezi mzima isichomoke kitu. tena tukakubaliana Bishanga na Lady doctor watakuwa wanawaletea uji kitandani
umeonaeee....... Yaani hapo anachemsha kokoto!
Lady doctor ucjali nitakupa hifadhi kwenye nchi ya ahadi