Nimeamua liwalo na liwe!

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Wakuu ndoto yangu mwenyezi Mungu akinijalia uzima ni lazima nijenge kighorofa chumba kimoja tu!

Kutema mate ukiwa juu aisee kuna raha yake! Kupiga bao ama kushangilia goli ukiwa juu!

Wataalamu chumba kimoja na sebule yaani sebule chini chumba juu kwa makadirio inaweza kunicost bei gani?
Ukubwa ni mita 5 kwa 5.


 
Yaani unataka kujenga nyumba au mnara wa maji?

Ghorofa ya chumba kimoja tu!!!

Unataka kujenga wewe au mimi mkuu?,yaani pesa yangu unipangie matumizi [emoji28]ndio ile ukiagiza chai [emoji477]️ lazima uletewe na chapati mbili [emoji276]nayetaka kujenga ni mimi chumba juu sebule chini kama inavyoonekana kwenye picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…