Nimeamua liwalo na liwe!

Nimeamua liwalo na liwe!

Baada ya ghorofa kupiga mzinga huko moshi vijijini,nimekaa chini nimetafakari na kugundua inatakiwa nijipange kweli kweli ili nijenge msingi imara maana ndoto zangu ni kutumia nondo za 12mm kwenye columns na 10mm kwenye beams kwenye slaps nilitaka kutumia 8mm ili kupunguza gharama bado natafakari kwanza![emoji276]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Ndo maan wanaviita vijiwe vya kidigitali. Cku moja nkitembelea chit-chat bila shaka ntakukuta kule. [emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Ndo maan wanaviita vijiwe vya kidigitali. Cku moja nkitembelea chit-chat bila shaka ntakukuta kule. [emoji28][emoji28]

Sipo kabisa kwenye kundi la vijana wasiojitambua [emoji28]
 
Nitajenga ghorofa ili watoto wangu waishi kwenye maisha ya kigeni!
Mandonga voice [emoji3]
 
Back
Top Bottom