Baada ya ghorofa kupiga mzinga huko moshi vijijini,nimekaa chini nimetafakari na kugundua inatakiwa nijipange kweli kweli ili nijenge msingi imara maana ndoto zangu ni kutumia nondo za 12mm kwenye columns na 10mm kwenye beams kwenye slaps nilitaka kutumia 8mm ili kupunguza gharama bado natafakari kwanza![emoji276]