Nimeamua niachane na mambo yoote yanayohusu Siasa, serikali, jamii, pamoja na haya. Mijadala ya aina yoyote nimejitoa

Niliachana na mambo ya Dini huu ni mwaka wa 10. Nilikuwa na amani na furaha wakati wote. Nilijawa na upendo kutetea lililo la haki na kutumia hekima na busara wakati wote.

Niligundua mapungufu makubwa yaliyokuwa yanazikabiri hizi imani za kidini zote mbili.

Mimi namuamini sana Mwenyezi Mungu kama muumba wa mbingu na Nchi Bwana Aliyehai.

Nitaorodhesha mambo kadhaa ambayo sitaongelea wala kujadili mbele ya mtu yeyote.

1. Siasa za Tanzania
2. Michezo( hili toka zamani sijawahi kulipa hata dakika moja kwenye maisha yangu.
3. Dini za kiimani
4. Vyama vya siasa
5. Elimu na viwango vyake Tanzania

6. Uchumi
7. Kilimo
8. Madeni ya Taifa
9. Mapato ya Taifa
10. Mambo ya kijamii kama vile vifo, maladhi, ugomvi, vyombo vya usafiri, mziki, starehe.
11. Nimeachana pia na mambo ya watu, utajiri, biashara zao, imani zao, shughuli zao.
12. Majanga kama vile mafuriko, matetemeko, milipuko, vimbunga, ajali, njaa, ukamwe havitakuwa sehemu ya mazungumzo yangu kwa sasa pengine na hata baadae.
13. Vita, machafuko, uhasama, uvamizi, ugaidi, ujambazi, wizi, uporaji, utekaji, mauwaji kamwe namuomba Mwenyezi Mungu aniepushe nisitoe kauli yoyote iwe ya pole, kuunga mkono au kupinga wala kukemea. Eeh Mungu nisaidie.

14. Ukengeufu, umalaya, Uzinzi, usagaji, ushoga, madawa ya ngada, uasherati kamwe visiwe sehemu ya maongezi yangu kwa namna yoyote ile. Nitajaribu kukwepa kwa nguvu zangu zote.

Kwa Tanzania ya Sasa na Dunia ya leo hayo mambo yoote hakuna hata kimoja wewe kama mtu binafsi au kikundi cha watu kadhaa mnaweza kibadilisha. Utajichosha bure na kupoteza muda wako.

Nimeona ni heri nitumie huu muda mchache ambao Mungu ametujalia uhai kufurahia maisha tu. Hayo mengine yapo tu na yataendelea kuwapo.
Umeacha kujadili maisha. Inshort, umechagua kuwa marehemu anayetembea. Pole sana.
 
Ukifanya hivyo huoni umewakabidhi uwanja chawa,mafisadi,na wahuni hatma ya taifa mikononi mwao.
 
Maamuzi mazuri sana mkuu..
 
Kuna kitu umekutana nacho siyo bure..
KAA UTULIE HALAFU FANYA KITU INAITWA WATER THERAPY, HALAFU UJE UTUELEZE VENYE MAMBO YAMEENDA HUKO NYUMA YA TENT.
 
Back
Top Bottom