Nimeamua niache kazi nikajiajiri

mimi kinachonikera ni kazi nyingi mshahara sion nimefungwa hata mambo yangu ya kifamilia sifanyi yani sifanyi chochote
Cha kutambua ni kuwa kazi zitaendelea kuwa nyingi. Muda wa masuala ya kifamilia utakosa vilevile unapokuwa umejiajiri. Labda kuongezeka kwa kipato kama utakuwa na nidhamu ya utafutaji na utumiaji! Hii nimeangalia kujiajiri ukiwa na mtaji wa laki tano!! Kila la heri!
 
Hongera mkuu, hata Mimi nilichukua uamuzi huo mgumu miaka miwili iloyopita nikaingia kitaani kujiajiri, sasaivi sitaki hata kuajiriwa tena labda nifilisike, cha msingi jitume kwa nguvu zako zote, kuwa na nidhamu kwa biashara utakayoianzisha hatakama itakuwa ndogo, ukiwaheshimu wateja wanaokuja kununua hiyo biashara utaongeza wengi zaidi, sasa kwa mtaji wa laki tano kama huendekezi usharobaro na kutaka kujionyeshaonyesha kwa mademu anza na genge hasa sehemu ambayo unaona watu wanafuata mahitaji mbali wawekee karibu, ni hayo tu mjomba
 
point mkuu umesema yaani ni afadhali ujishughulishe kwa kile ambacho unakifanya wewe kuliko kutumikia maofisi ya wenzako unawatajirisha wao wewe unabaki maskini yaani huyu kaamua vyema sana
Duh you people hii mnasema kufurahisha genge amaa...hehe ujue inategemea na unafanya shughuli gani, Kuna kazi zinawalipa watu jmn acheeeniii mjasiriamali hatii mguu
Ss waweza mshaur mtu kweli aache ukurugenz akauze karanga kisa ni Ujasiriamali?..
 
U trying to say all of us tuwe wajasiriamali?ataajiriwa nani?
Inategemea na aina ya Ujasiriamali mkuu,kama haikulipi zaidi ya kazi uliyonayo ya ninii, na miaka yote unasoma ulikua na lengo gani...
 
U trying to say all of us tuwe wajasiriamali?ataajiriwa nani?
Inategemea na aina ya Ujasiriamali mkuu,kama haikulipi zaidi ya kazi uliyonayo ya ninii, na miaka yote unasoma ulikua na lengo gani...

Kutoa expenses .,unabaki na shingapi???kumbuka hakuna 50% profit business mkuu.,mostly 10- 20% profit of each profit.
 
Acha kujitafutia shida. Huki sio kipindi kizuri cha kujiajiri. Utakuja kupata magonjwa ya moyo bure. Sasa kama elimu yako mbuzi kwa nini usitumwe tumwe? Kama hupendi kutumwa kaongeze elimu...
Una akili fupi sana Mkuu...
 
Mh... mkuu kuna formula huku ila cha msingi ni kukomaa, kuna kipindi utalia halafu machozi hayatotoka... ukifikia hio stage ndo milango itakuwa ready to be opened.. vumilia fuata ndoto zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…