Nimeamua nifanye biashara ambayo mahesabu yananionyesha nitapata hasara

Kuwaita Accacia Wanyonyaji ni upotoshaji.Mkataba wao ni wa kisheria na una pande 2, wao kama wawekezaji na Tz kama mmliki. How comes wawe wanyonyaji? Tusil aumu tulipo anguka bali tulipo jikwaa.Nimtazamo tu!
Hapa tunaongea inshu ya kuexpand biashara wewe unaleta habari za accacia hapa. Wewe zero uelewi kinachoongelewa eee
 
Boss komaa utafanikiwa sanaa... koz mechi moja kubwa ukafanya 1,000 ukipata watu 200... iyo ni laki 200,000/= per day. sasa changanya mechi zotee bongo africa Urop...! Mwaka mzima... mbona kila mtaa utafungua boss...
 
1.Azam na DSTV.

2.Azam 15000,DSTV 184000 kwa mwezi.

3.Umeme ni wa luku kwa siku naweza tumia wa elfu tano(Maximum).Population nimeyotagert ni watu 200 mpaka 300 kwa mechi hasa ligi kuu wingereza.Hapo bado uefa.


andika yako tu kweli we MTHOMI
 
1.Azam na DSTV.

2.Azam 15000,DSTV 184000 kwa mwezi.

3.Umeme ni wa luku kwa siku naweza tumia wa elfu tano(Maximum).Population nimeyotagert ni watu 200 mpaka 300 kwa mechi hasa ligi kuu wingereza.Hapo bado uefa.
mi nna uzoefu na mambo hizo..ukiwa mjanja cost hizo hazifiki mkuu..
 
Tuanzie hapa
1. Unataka kutumia king'amuzi gani?
2. Bundle gani/na gharama yake ni kiasi gani?
3. Umeme utatumia kiasi gani?
Sasa tuje kwenye targeted population niyakutosha na itaendana na bei ambyo umepanga
Kingamuzi ni cha DSTV tuu na si pengine
Nunu kufurushi cha Compact plus
Maisha yaendelee na kama una hitaji gonga like nikuletee kwa anae ishi Dar kwa mkoani tunatuma pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…